Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,602
- 5,809

ni kweli nDugu, kumbuka hata hizi means testing zilianza ni kwa 7bu ya harakati za udsm. Mwanzoni wote tulioanza 2006/2007 tulipewa daraja moja. Govt.60% wakati mzazi 40%. Katika harakati zetu, tuligundua watoto wa matajiri na viongozi wakiwa nao wanalipiwa sawa na mtoto wa maskani tena ambaye elimu yake kapata kwa shida, na mpaka anafika chuo hana vyeti vyake, anatumia result sleep kwa kuwa anadaiwa 40,000/= adada za sekondari.

Tuliwasha moto na kusema huo ni uonevu, na madai yetu tulitaka wote tuendelee kupewa 100% ndipo viongozi wa wkt huo, akina bushi, mtatiro na mwanaharakati toka uganda aliitwa odong odwaa walisimama tukafanya mgomo uliopelekea chuo kufungwa takribani mwezi mmoja.

Tuliporejeshwa chuo, tukakuta means testing. Tulijaza fomu hizo, matokeo yake mtoto wa waziri mmoja akakutwa analipiwa 100% wakati watoto wa wakulima tuliepewa kujigaramikia hadi 80%. Tulifanya mgomo mwingine mkubwa tukafukuzwa miezi miwili na tuliporejeshwa, tukakuta madaraja yetu kwa kiasi kikubwa yamerekebishwa.

Mwaka wa tatu 2008/2009 hatukufanya mgomo kwa kuwa madaraja yalirekebishwa kwa kiasi kikubwa.

Vyuo vingine hasa vile vya private kikiwemo na mzumbe, hawakugoma, walikuwa ni kati ya watu waliotuita udsm tumeshindwa kusoma. Lakini harakati zetu na taabu za kufukuzwa ndizo zilizopelekea hata wanafunzi wa private insistution kupewa mikopo wakati mwanzoni waligomewa. Sisi udsm tukasema, nao ni watanzania japokuwa wao hawakuwahi kugoma hata siku moja.

kumbe Mzumbe ni chuo cha private siku hizi!