Udsm-muce.

Udsm-muce.

KaziIendelee

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2013
Posts
327
Reaction score
229
Inasikitisha sana kwa Chuo Kikuu cha Ualimu kukosa hata syllabus 1,neither of O-Level nor of Advanced level ,ni ajabu sana.Wanachuo wanapata wakati mgumu sana kuzipata syllabus ,Tafadhali serikali tuleteeni syllabus, mtaani hakuna na zinauzwa bei kubwa sana Tsh 9000/=.Kama boom hamuongezi basi tuleteeni hata syllabus tu.
 
Utasikia kwamba hii haipo kwenye mpango wa matokeo makubwa sasa subirini kwanza tuliwekee mpango wake
 
Wadharau tu waalimu,ila Big Results now has nothing to do without well prepared teachers from colleges and Universities, na kama waalimu wanakuwa trained vibaya hata wanafunzi watakuwa trained vibaya na waalimu wao.
 
Inasikitisha sana kwa Chuo Kikuu cha Ualimu kukosa hata syllabus 1,neither of O-Level nor of Advanced level ,ni ajabu sana.Wanachuo wanapata wakati mgumu sana kuzipata syllabus ,Tafadhali serikali tuleteeni syllabus, mtaani hakuna na zinauzwa bei kubwa sana Tsh 9000/=.Kama boom hamuongezi basi tuleteeni hata syllabus tu.
Ukweli mchungu, peas ya vitabu mnanunulia nini?Kama nyie mmeshindwa kutoa hiyo 9000/= kwanini mnailamu serikali?
 
hivi hela za stationary mnapeleka wapi kutoka heslb,200000shs mnapewa lakini kitu cha 9000shs mnalalamika lalamika tu nyie madogo,mnakazi ya kufanya umalaya chuoni
 
hivi hela za stationary mnapeleka wapi kutoka heslb,200000shs mnapewa lakini kitu cha 9000shs mnalalamika lalamika tu nyie madogo,mnakazi ya kufanya umalaya chuoni

mi pia nipo muce lkn jamaa angular unantia Ainu kulalamikia kitu cha sh.9000 .sham.

e on you books and stationary umehonga au?
 
Back
Top Bottom