KaziIendelee
JF-Expert Member
- Oct 30, 2013
- 327
- 229
Inasikitisha sana kwa Chuo Kikuu cha Ualimu kukosa hata syllabus 1,neither of O-Level nor of Advanced level ,ni ajabu sana.Wanachuo wanapata wakati mgumu sana kuzipata syllabus ,Tafadhali serikali tuleteeni syllabus, mtaani hakuna na zinauzwa bei kubwa sana Tsh 9000/=.Kama boom hamuongezi basi tuleteeni hata syllabus tu.