KaziIendelee
JF-Expert Member
- Oct 30, 2013
- 327
- 229
Utasikia kwamba hii haipo kwenye mpango wa matokeo makubwa sasa subirini kwanza tuliwekee mpango wake
Ukweli mchungu, peas ya vitabu mnanunulia nini?Kama nyie mmeshindwa kutoa hiyo 9000/= kwanini mnailamu serikali?Inasikitisha sana kwa Chuo Kikuu cha Ualimu kukosa hata syllabus 1,neither of O-Level nor of Advanced level ,ni ajabu sana.Wanachuo wanapata wakati mgumu sana kuzipata syllabus ,Tafadhali serikali tuleteeni syllabus, mtaani hakuna na zinauzwa bei kubwa sana Tsh 9000/=.Kama boom hamuongezi basi tuleteeni hata syllabus tu.
hivi hela za stationary mnapeleka wapi kutoka heslb,200000shs mnapewa lakini kitu cha 9000shs mnalalamika lalamika tu nyie madogo,mnakazi ya kufanya umalaya chuoni