chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Hii nchi ina faculty ambazo zinaitwa za biashara, zikiwa na wasomi kedekede, kwa nini hawatoi muda wao kufanya research kwenye maeneo nyeti ya nchi kibiashara? Imagine, eneo linalokusanya Kodi karibu 150 billions kwa mwezi, Chuo Kikuu hakijichimbii kufanya tafiti au monitoring. Wao wanamjua Plato na Aristole tu, usipomkariri utakiona.
Hata baada ya Sakata la Kariakoo, they failed to come with a detailed analysis kwenye media.
Vyuo vikuu vinatakiwa kuwa na jamii na kufanya ya jamii, na kutoa matokeo kwa jamii, vinginevyo vinakuwa redundant.