UDSM: NAFASI za MASTERS&POSTGRADUATE, masomo yanaanza mwezi wa NNE.

UDSM: NAFASI za MASTERS&POSTGRADUATE, masomo yanaanza mwezi wa NNE.

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,610
Habari wanajamiiforums.....Kwa wale waliochelewa kujiunga masomo ya masters na Postgraduate Diploma UDSM na vyuo vingine ni nafasi yako sasa kusoma katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Masomo yanaanza mwezi wa nne na mwisho wa kutuma application ni tarehe 28th february. Kwa taarifa zaidi pamoja na application form piga simu namba 0755 450 174 au 0767065698. Pia usisite kutembelea http://www.udbs.udsm.ac.tz/ KARIBUNI SANA.
 
vipi taratibu za kulipa fee. Wanakubali kwa installment? Na kama wanakubali ukalipa then ukaana masomo vipi ikatokea ukuchelewa kufany payments za installment inayo fuata, wana utu au ndio watakufuzia mbali ukawa umepoteza muda na vipesa vyako ulivyo lipa. Nauliza coz nimeona kidogo ada zao zimechangamka.Help plse, hasa kwa wale mnao soma au mlisoma hapo . Nahitaji kusoma MIB ila nina viela vya kuunga unga
 
This info is vzr important for me. Thanks mkuu.
 
vipi taratibu za kulipa fee. Wanakubali kwa installment? Na kama wanakubali ukalipa then ukaana masomo vipi ikatokea ukuchelewa kufany payments za installment inayo fuata, wana utu au ndio watakufuzia mbali ukawa umepoteza muda na vipesa vyako ulivyo lipa. Nauliza coz nimeona kidogo ada zao zimechangamka.Help plse, hasa kwa wale mnao soma au mlisoma hapo . Nahitaji kusoma MIB ila nina viela vya kuunga unga

mdau me nasoma,na nalipa kwa awam,wakishakusajil hawana noma,
 
Back
Top Bottom