mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Nipe jibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vip huko,kuna jamaa kaniambia kubebana eti ni noma,sb ulipigwa mkwala,ya kweli hayo au?
Me nataka unibebe pia ila ni demu si poa
Me nataka unibebe pia ila ni demu si poa
ntakununulia room dear. Halafu kuanzia leo we mpenzi wangu
Ila watu siku hizi mna tamaa! Wnzi za mwalimu tulibebana kwa hiari na bila kulipishana. Tena kisa mtu yuko off campus tu, anakaa na mshkaji main campus.
Haya bwana, biashara njema.
Sio biashara mkubwa, msaada huu