Udsm ni kama manchester united!!!!!!!!!!!

Arnold Ndosi

Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
65
Reaction score
3
Chuo chetu kikonge, cha ukweli na chenye ubora wa juu Tanzania, Africa ya mashariki na hata Africa kwa ujumla hakiwezi kikatofautishwa na MAN U katika tasnia ya mchezo wa mpira wa miguu. Chuo hiki kimekuwa kikikososelewa na kupondwa sana na wanafunzi na wahitimu wa vyuo vingine hapa nchini. Bila shaka hii ni kutokana na ubora wa taasisi hii maridadi kuliko zote.Mimi binafsi nimekuwa nikiulizwa kuhusu elimu yangu,nami nimekua nikijibu tu kiufupi,"ninasoma UDSM" hakika hakuna mtu anaeuliza nasoma nini kwa maana wanafahamu hata kama nachukua digrii ya kufagia,nitatisha sana baadae katika kazi yangu.Hii haitofautiani na mashabiki wa timu zote za wiingereza na ulaya wanavyo ichukia MAN U kwa 7bu ya mafanikio yake makubwa kulinganisha na vijitimu vyao. IM PROUD OF BEING A STUDENT OF UDSM, IM PROUD OF BEING A FAN OF MAN U. I LOVE U, UDSM, I LOVE U, MAN U. GOD BLESS ME AND ALL PEOPLE WHO ARE READING THIS THREAD.
 
haya we soma afu uje mtaani kupiga jaramba..maisha siku izi hayaangalii cha UDSM wala nini, afu acha ulimbukeni..hata kama unasoma udsm kumbuka wewe bado ni mtanzania na unaishi tanzania!! (bila shaka) nikuulize pia! utaifanyia nini hiyo udsm?
 
Ww mjinga na mlinbukeni sana, UDSM ndo nn?? Kozi ndo dili! Ungesema unasoma MD hapo ungejisifia naningekuelewa.
 
ondooni mijadala ya kishabiki hapa tunataka mijadala ya ku analyse issues
 
ulimbukeni wa chuo inawezekana kabisa hukuwahifikiria kufika chuo
 
Unajua kijua Kwame Nkruma univesity of science and technology unataka ku compare na udsm acha ujinga wewe, kila mtu akiandika chuo anacho soma utakimbia. Wengine humu humu Jf wapo havard, stanford na hata MIT nao wasemaje?
 
Ww mjinga na mlinbukeni sana, UDSM ndo nn?? Kozi ndo dili! Ungesema unasoma MD hapo ungejisifia naningekuelewa.

akili za kitoto hizi. Hivi nani huwa anahamasisha watu wajiunge jf? Maana naona wapuuzi wanazidi kuongezeka. Naikubali udsm lakini siwezi kuleta hoja ya kipuuzi kama hii ili watu wasome. Hivi hawa watoto wanajuaga jf ni kama uchafu wa blogs wanazoanzisha mitaani? Ptuuuuuuuh!
 
Ukichunguza vizuri mtu mwenyewe anachukua certificate of HR
 
acha ulimbukeni wewe, unakiaibisha chuo kama wewe ndio product ya UDSM ya baadae basi nakiri wazi TCU wameharibu chuo hiki.
 

inaonekana ndio huwa unaota kila siku bro.
 
kachukue posho yako kwa mkandara na ferguson,kazi waliyokutuma umemaliza,halafu mto mada atakuwa amesoma shule za kata hadi A-LEVEL,sasa amefika UDSM kaona kama Havard vile,na cha moto utakiona ngoja umalize hiyo bachelor yako upelekwe Ndono Sec. ukafundishe uone haya unayoongea ni sahihi
 
Siku hizi simuoni jamaa mmoja alikua anajiita "Senetor/Pitz" alikua ni mshibiki mkubwa sana kwenye maswala ya UDSM, huyu jamaa kwa sasa ka-graduate.. since then, sijawahi muona huku tena..

C.C: MKATA KIU
 
Glory glory Manchester United hicho ndicho chenye tija humu.We are the league leaders.
 
kiukwel CHUO KIKUU DAR ES SALAAM n km MAN U..knatisha kiakademc kwa wanafunz wake
 
Sifa za kijinga...Wewe upo UDSM lakini ni kilaza ni ufahamu kuwa kitakachokubeba sio Chuo ila uwezo wako. Ukiwa flop kama wewe hata ukisoma Harvard, Yale au Stanford utabaki kilaza tu na huko mtaani hakuna anayeangalia jina la Chuo
 
HATA UKISOMA SHULE IKATOA T.O na ww utakuwa T.O? Hopeless kabaisa, Ni kweli UD kwenye rank ipo juu Tz, lakini kilaza hat awe wp ni kilaza tu. A rose by any name smells sweet(shake spear)
 
Maliza kwanza masomo yako ya hapo UDSM utafute kazi ndo uje useme I LOVE UDSM otherwise it is very very early mkuu. Angalia usije siku moja kusema I hate UDSM and GOD bless all people who is reading this
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…