Chuo chetu kikonge, cha ukweli na chenye ubora wa juu Tanzania, Africa ya mashariki na hata Africa kwa ujumla hakiwezi kikatofautishwa na MAN U katika tasnia ya mchezo wa mpira wa miguu. Chuo hiki kimekuwa kikikososelewa na kupondwa sana na wanafunzi na wahitimu wa vyuo vingine hapa nchini. Bila shaka hii ni kutokana na ubora wa taasisi hii maridadi kuliko zote.Mimi binafsi nimekuwa nikiulizwa kuhusu elimu yangu,nami nimekua nikijibu tu kiufupi,"ninasoma UDSM" hakika hakuna mtu anaeuliza nasoma nini kwa maana wanafahamu hata kama nachukua digrii ya kufagia,nitatisha sana baadae katika kazi yangu.Hii haitofautiani na mashabiki wa timu zote za wiingereza na ulaya wanavyo ichukia MAN U kwa 7bu ya mafanikio yake makubwa kulinganisha na vijitimu vyao. IM PROUD OF BEING A STUDENT OF UDSM, IM PROUD OF BEING A FAN OF MAN U. I LOVE U, UDSM, I LOVE U, MAN U. GOD BLESS ME AND ALL PEOPLE WHO ARE READING THIS THREAD.