Udsm ni kama manchester united!!!!!!!!!!!

Udsm ni kama manchester united!!!!!!!!!!!

Academics na Soccer wapi na wapi? mbona hakuna correllation hapo? jamani tulete thread zenye tija zinazochallenge mind, what the ******* is this? no offense watu kama hawa wanaitia aibu UDSM kama kweli ni graduates wa hapo, huyu katumwa nini?:confused2:
 
du mimi nidhani hii forum ni ya siasa, kumbe pia ni elimu na michezo. labda naona vibaya
 
Chuo chetu kikonge, cha ukweli na chenye ubora wa juu Tanzania, Africa ya mashariki na hata Africa kwa ujumla hakiwezi kikatofautishwa na MAN U katika tasnia ya mchezo wa mpira wa miguu. Chuo hiki kimekuwa kikikososelewa na kupondwa sana na wanafunzi na wahitimu wa vyuo vingine hapa nchini. Bila shaka hii ni kutokana na ubora wa taasisi hii maridadi kuliko zote.Mimi binafsi nimekuwa nikiulizwa kuhusu elimu yangu,nami nimekua nikijibu tu kiufupi,"ninasoma UDSM" hakika hakuna mtu anaeuliza nasoma nini kwa maana wanafahamu hata kama nachukua digrii ya kufagia,nitatisha sana baadae katika kazi yangu.Hii haitofautiani na mashabiki wa timu zote za wiingereza na ulaya wanavyo ichukia MAN U kwa 7bu ya mafanikio yake makubwa kulinganisha na vijitimu vyao. IM PROUD OF BEING A STUDENT OF UDSM, IM PROUD OF BEING A FAN OF MAN U. I LOVE U, UDSM, I LOVE U, MAN U. GOD BLESS ME AND ALL PEOPLE WHO ARE READING THIS THREAD.
IVI NA WEWE UNASOMA CHUO KIKUU??? mbona una mawazo hafifu na mgando kiasi hiki???
 
Nahc ni 1st year na mawazo yako hayafanani hata na mwanafunzi wa kidato cha 1 unaona umefka sana udsm kwa kifupi ni kwamba udsm ilikua miaka ya 80 mpaka 90 leo hii limebaki jina tu so jipange
 
Mi nadhani issue sio chuo unachosoma ila ilichosoma kutoka chuo chochote kile kimekusaidiaje wewe mwenyewe,jamii inayokuzunguka na taifa lako kwa ujumla.
 
Halafu vyuo havishabikiwi kama klabu ya mpira kama unavyosema wewe ila inategemea na kozi zinazopatikana kutoka kwenye hivyo vyuo, kwakuwa kuna kozi tofauti, vyuo tofauti hivyo inategemea unapenda kozi ipi na inapatikana chuo kipi
 
Siku hizi simuoni jamaa mmoja alikua anajiita "Senetor/Pitz" alikua ni mshibiki mkubwa sana kwenye maswala ya UDSM, huyu jamaa kwa sasa ka-graduate.. since then, sijawahi muona huku tena..

C.C: MKATA KIU

mtaani kugumu kaka.... hiyo hela ya bundle ni bora anywe maji...... mtoa mada hili linakuhusu pia
 
mnaokipondea udsm wengi wenu mtakuwa udom au vyuo vingine vya kata,yaan kubali ukatae udsm ndo chuo cha ukweli Tz nzima,imepiga gepu kali sana vyuo vingine hapa Tz hata ukiangalia rank za vyuo bora africa na ma To wengi na wakali wengi wa Tz utawakuta udsm kama kilaza huwezi ukaenda pale,kama utaki kajinyonge kwa bigjii
 
acha ulimbukeni wewe, unakiaibisha chuo kama wewe ndio product ya UDSM ya baadae basi nakiri wazi TCU wameharibu chuo hiki.

Mkuu ndiyo tu karipoti UDSM hata UE hajafanya hata moja. Supplimentary exams hata hajawahi kuisikia!
 
Academics na Soccer wapi na wapi? mbona hakuna correllation hapo? jamani tulete thread zenye tija zinazochallenge mind, what the ******* is this? no offense watu kama hawa wanaitia aibu UDSM kama kweli ni graduates wa hapo, huyu katumwa nini?:confused2:

Sio tu kuitia aibu UDSM anaitia aibu JF
 
hilo jamaa litakuwa bwabwa! hlf huenda ni first year na anatokea nyarugusu amchimboni! congs broo kwa kusoma udsm.
 
Udsm ni kama zanzibar vile? Kwa nini? Ukisikia watu wanataka zanzibar yao huru, utafikiri wamoja vile. Kiundani unakuta wenyewe kwa wenyewe wanabaguana. Mara yule mpemba, mara yule muunguja, mara yule ni mwarabu, mara yule ni muhizbu,mara yule alimuua fulani.

Kwa udsm ni yale yale tu. Utasikia yule ngwini, yule mhandisi, yule anasomea ngoma, yule anasoma kozi za vilaza.

Kwa wahadhiri wenyewe hawapatani, akiwa profesa wa mawasiliano au ujenzi anajiona sio sawa na profesa au dokta wa kiswahili kn
 
Back
Top Bottom