vevenononombo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,289
- 421
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ni chuo kikongwe na chuo kinachotambulika kimataifa lakini chuo hiki nimekuwa na kasoro ktk eneo moja nalo ni kutokuwa na andiko la kitaaluma kwa shahada ya kwanza (research).
Wahitimu wake wameanza kujifunza tafiti katika fani zao pale wanapo anza shahada ya uzamili,hali hii imekuwa ni kikwazo kwa walio wengi na kufanya elimu hiyo ya kuandaa andiko la kitaaluma kuwa mtihani mwingine.
Ni wazi kuwa hiyo ni kasoro kubwa katika maandalizi ya wasomi katika chuo hicho maarufu.
Ombi langu waingize kipengele cha utafiti kwa mwaka wa mwisho katika fani zote, nafikiri itakifanya chuo hicho kuwa bora mara dufu.