UDSM sasa kibadilike na kiruhusu andiko la kitaaluma kwa Shahada ya Kwanza

UDSM sasa kibadilike na kiruhusu andiko la kitaaluma kwa Shahada ya Kwanza

vevenononombo

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2015
Posts
1,289
Reaction score
421
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ni chuo kikongwe na chuo kinachotambulika kimataifa lakini chuo hiki nimekuwa na kasoro ktk eneo moja nalo ni kutokuwa na andiko la kitaaluma kwa shahada ya kwanza (research).

Wahitimu wake wameanza kujifunza tafiti katika fani zao pale wanapo anza shahada ya uzamili,hali hii imekuwa ni kikwazo kwa walio wengi na kufanya elimu hiyo ya kuandaa andiko la kitaaluma kuwa mtihani mwingine.

Ni wazi kuwa hiyo ni kasoro kubwa katika maandalizi ya wasomi katika chuo hicho maarufu.

Ombi langu waingize kipengele cha utafiti kwa mwaka wa mwisho katika fani zote, nafikiri itakifanya chuo hicho kuwa bora mara dufu.
 
Hiyo hela wataitoa wap? CCM wale wap? hiyo inshu inainvolve hela sio bure!!

Bodi ya.mikopo inatakiwa kutoa hiyo pesa mbona vyuo vingine wafanya hizo tafiti? Kwanini sio usdm au kuna ajenda ya siri ktk hili?
 
Aiseeehh Kumbe UDISM hawafanyi research?
Na ka digirii kangu ka Mzumbe japo nilihangaika kidogo na ka research
 
mmh! ebu fanya utafit vzur au labda mm cjakuelewa maana pale hzo andiko mbona huwa 2nafanya tena 2nafanya had projects kwa final year tena chn ya usimamzi mkali na kufanya presentation tena mm utanidanganya nn kwenye research nisichokijua labda nwe cjakuelewa ila izo research zpo
 
Aisee umenena MKUU,kweli kabisa,UDSM,nakumbuka mwaka wetu KATIKA course yetu alichaguliwa mtu mmoja tu,kufanya tafiti
 
Project za magroup zinafanyika lkn research kuhusu kile ulichosoma na kupresent na kuaimamiwa na kuandika andiko la kile ulichofanya hakipo labda Dvc aje aniprove wrong
 
Inategemea na Course.Sheria wanafanya research.
 
Project za magroup zinafanyika lkn research kuhusu kile ulichosoma na kupresent na kuaimamiwa na kuandika andiko la kile ulichofanya hakipo labda Dvc aje aniprove wrong

Ungefanya kautafiti kidogo kabla ya kukurupuka na jiuzi lako ambalo umejumlisha faculty zote kuna wanaofanya na ni very serious issue dissertation inawachukua mwaka mzima na kuna college wanafanya ila sio very serious na kuna college hawafanyi kabisa
 
Lengo la Uzi huu nikutaka hicho kitu kiwe ni lazima kwa watu wote wafikapo mwaka wa mwisho wewe hauoni hapo kuna tatizo?ikiwa umekiri mwenyewe kuwa kuna college wanafanya,wengine hawafanyi serious na kunawengine hawafanyi kabisa hauoni kuna shida hapo?
 
Project za magroup zinafanyika lkn research kuhusu kile ulichosoma na kupresent na kuaimamiwa na kuandika andiko la kile ulichofanya hakipo labda Dvc aje aniprove wrong

Mkuu, nilisoma pale college of engineering and technology -UDSM na nilifanya individual project mwaka mzima na kupresent kila semester ya mwaka wa mwisho pamoja na kwenda site kufanya research na kukusanya data, hii inafanyika kwa wanafunzi wote wa engineering udsm, na shughuli kwelikweli. Anyway, labda tu sio research unayoijua wewe!
 
Lengo la Uzi huu nikutaka hicho kitu kiwe ni lazima kwa watu wote wafikapo mwaka wa mwisho wewe hauoni hapo kuna tatizo?ikiwa umekiri mwenyewe kuwa kuna college wanafanya,wengine hawafanyi serious na kunawengine hawafanyi kabisa hauoni kuna shida hapo?

Tatizo Uzi umekurupuka kabla hatujafika kwenye tatizo la hilo andiko ulisemalo ungetaja faculty moja moja ambayo haifanyi hizo tafiti kuliko kujumlisha mi naona kama uzi wako hauna mashiko
 
Back
Top Bottom