vevenononombo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,289
- 421
Hiyo hela wataitoa wap? CCM wale wap? hiyo inshu inainvolve hela sio bure!!
Hizo research ni tofauti na final year projects zinazofanyika???
Tumefanya project nying
Project za magroup zinafanyika lkn research kuhusu kile ulichosoma na kupresent na kuaimamiwa na kuandika andiko la kile ulichofanya hakipo labda Dvc aje aniprove wrong
Tofauti kabisa
Ungefanya kautafiti kidogo kabla ya kukurupuka na jiuzi lako ambalo umejumlisha faculty zote kuna wanaofanya na ni very serious issue dissertation inawachukua mwaka mzima na kuna college wanafanya ila sio very serious na kuna college hawafanyi kabisa
Project za magroup zinafanyika lkn research kuhusu kile ulichosoma na kupresent na kuaimamiwa na kuandika andiko la kile ulichofanya hakipo labda Dvc aje aniprove wrong
Lengo la Uzi huu nikutaka hicho kitu kiwe ni lazima kwa watu wote wafikapo mwaka wa mwisho wewe hauoni hapo kuna tatizo?ikiwa umekiri mwenyewe kuwa kuna college wanafanya,wengine hawafanyi serious na kunawengine hawafanyi kabisa hauoni kuna shida hapo?