UDSM sasa kibadilike na kiruhusu andiko la kitaaluma kwa Shahada ya Kwanza

Nadhani wewe binafsi huelewi maana ya research ni nini.

Nikijaribu kuelewa unacho kifikiria nahisi unadhani research ni somo fulani ambalo ukilifanya/kulisoma basi wewe ni researcher, la hasha. Chukulia mfano wa Mzumbe University, mwaka wa mwisho wanatumia mhula wote kwamba wanafanya research, na hilo kwao ni somo na lina Code yake. UDSM kila degree program mfano Engineering kuna final projects ambazo huchukua mwaka/semester nzima, humo ndani kuna baadhi project zao zinafaa kabisa kuwa topic ya kufanyia masters, sheria nao wanyao, walimu wana yao n.k.

Lakini yote hayo kwa level ya 1st degree huwezi ita research bali ni final year project au field attachment. Research comes in only if one has the qualification to carry out research work with an independent ideological framework.
 
Course yetu mwaka wa tatu tulifanya econometric research basing on secondary data na tukaandika report...
 
Sisi tuliosoma UCLAS by then tulikuwa tunafanya research semester yote ya mwisho. Ndio maana product ya UCLAS by then ikienda Masters UDSM walikuwa Wanafaulu sana

una uhakika na unachokisema? au kilele nyuma ya keyboard kumbuka mlitoka kwenye ubavu wa udsm kama udsm n adamu bas uclas ni eva ucileweshwe na fitina za mtoa mada hapo juu kuhusu udsm
 
nimemaliza siku nyingi kidogo enzi za mtungilei akiwa presider wa daruso sheria na BED walikuwa wanafanya sikumbuki vizuri nadhani na enginearing
 
Upo sahihi kabisa na ni matarajio yangu kuwa baadhi ya wahusika wataisoma hii rai yako na wataifanyia kazi.
 
Mbona mi nlikua Udsm Cass na Semester ya pili mwaka wa mwisho 2014
Tumeaandaa Research katika Kozi ya Introduction to Research Methodology na Research nloandika ni THE THREATS OF IMPROPER AGRICULTURAL PRACTICES TO ENVIRONMENT AND HUMAN LIFE.
 

dah jf imekuwa kijiwe cha kahawa kwa sababu ya watu kama nyinyi, wewe unaongelea staff walioko UD mimi nimesoma hapo BA na MA degree.
lets agree to disagree.Unaleta hoja unapewa ukweli unaleta habari za kusikia.
 
Wa ud waende mzumbe,mzumbe waje ud basi ili tuone itakuwaje
 
Duuu Nyie mnaotaka hzo mambo njooni ARDHI UNIVERSITY ndo mtajua utam wa chuo...LMV Moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…