Nadhani wewe binafsi huelewi maana ya research ni nini.
Nikijaribu kuelewa unacho kifikiria nahisi unadhani research ni somo fulani ambalo ukilifanya/kulisoma basi wewe ni researcher, la hasha. Chukulia mfano wa Mzumbe University, mwaka wa mwisho wanatumia mhula wote kwamba wanafanya research, na hilo kwao ni somo na lina Code yake. UDSM kila degree program mfano Engineering kuna final projects ambazo huchukua mwaka/semester nzima, humo ndani kuna baadhi project zao zinafaa kabisa kuwa topic ya kufanyia masters, sheria nao wanyao, walimu wana yao n.k.
Lakini yote hayo kwa level ya 1st degree huwezi ita research bali ni final year project au field attachment. Research comes in only if one has the qualification to carry out research work with an independent ideological framework.