UDSM sasa kibadilike na kiruhusu andiko la kitaaluma kwa Shahada ya Kwanza

UDSM sasa kibadilike na kiruhusu andiko la kitaaluma kwa Shahada ya Kwanza

samahani naomba nipewe tofauti kati ya research writing na project writing

Research: Utafiti

Project: Mradi au eneo la kutafiti/kuchunguzi/upembuzi

Writting:Kuandika

Hivyo ulichouliza kinaweza kuwa kitu kimoja, itategemea maana ya Project iliyotumika.
 
Fanya kama msomi, ebu sema ni kwanin umesema hakuna?lazima uwe na data, sasa toa reference hapa mfano ya hiyo kozi ambayo haina hicho?

Kukomalia chuo kizima unazidi kuonyesha kuwa una lack information muhimu ambayo ulipaswa kuwa nayo kabla hujaleta mada kama hii,wasomi wanapaswa waongee kwa data.

Nina mashaka na mleta bandiko kama ana ufahamu wa kutosha kuhusu UDSM....

Msamehe bure, inawezekana ni kanjanja tu
 
Rudia andiko lako vizur utagundua kitu wewe msomi uliekurupuka
 
Nina mashaka na mleta bandiko kama ana ufahamu wa kutosha kuhusu UDSM....

Msamehe bure, inawezekana ni kanjanja tu

Kwa maelezo yake inaonyesha ana elimu zaidi ya degree moja, kaazi kwelikweli
 
Kwa maelezo yake inaonyesha ana elimu zaidi ya degree moja, kaazi kwelikweli

Hadi kuandika Uzi huu,sijakurupuka lakin si vibaya ujumbe wangu umefika hata kama kunawatu wataupuuza
 
law enforcement and LLb kuna dissertation kabla hujagraduate... U can't write a dissertation without doing a research... So shut up... N leta mada ya course wasofanya researches nasio uconclude kwamba ni udsm nzima.
 
Hadi kuandika Uzi huu,sijakurupuka lakin si vibaya ujumbe wangu umefika hata kama kunawatu wataupuuza

Kwa kuwa huonekani kama unataka kujadili kama msomi,huna data na unataka tufanye ubishi kama wanywa kahawa,wana haki ya kukupuuza.

Ungejipanga kabla ya kuleta mada,ukasema kuna kozi A, B na C, hakuna hicho unachosema, thibitisha kuwa kweli hakipo, kisha jenga jenga hoja kwanin ni muhimu iwepo,baadae malizia kwa huo ushauri wako.

Lakini ulichofanya ni zaidi ya kukurupuka,mtu yeyote mwenye walau elimu ya form 4 hapaswi kukurupuka hivyo.
 
Nina mashaka na mleta bandiko kama ana ufahamu wa kutosha kuhusu UDSM....

Msamehe bure, inawezekana ni kanjanja tu

Yawezekana wewe Leo ndio umejua kuwa kuna wahitimu kutoka udsm hawajafanya andiko la kitafiti mwaka wa mwisho lkn umekuwa wa kwanza kushadidia kuprove hili humu kuna wataaluma walio udsm kwa sasa kama staff wanaweza kuja na kitu ingawaje kuna watu hawaliona tatizo
 
Hofu yangu kuwa kuna watu humu wengi wanaendelea kufanya mambo kwa hisia tu
 
Yawezekana wewe Leo ndio umejua kuwa kuna wahitimu kutoka udsm hawajafanya andiko la kitafiti mwaka wa mwisho lkn umekuwa wa kwanza kushadidia kuprove hili humu kuna wataaluma walio udsm kwa sasa kama staff wanaweza kuja na kitu ingawaje kuna watu hawaliona tatizo

Wahitimu wepi wa UDSM ambao hawafanyi hilo?toa data,kama huna usizidi kujidharirisha.
 
COET HAYO MAMBO YA RESEARCH NI KAWAIDA KWA MWAKA WA NNE..NI KAZI KWELIKWELI..labda baadhi ya kozi hawafanyi...znahitajika data Thabiti kabla ya Kuanzisha mjadala...
 
Nenda kitivo cha sheria pale maana research topics ndo zimekuwa approved muda sio mrefu na wanafunzi kupangiwa supervisors ningekua nina mda ningekupigia picha mtoa mada but ue inanibana.
 
Tuanze na sociology research ni option kwahiyo hapa watu wengi hawajafanya research,pili watu wa education pia nao research hasa kama topic ni option ila wengine hawafanyi,information pia,kwa ufupi social sciences hicho kitu akipo nitaendelea kuweka inapobidi
 
Hmm...ina maana UDSM hakuna Capstone courses?

Maajabu hayo!
 
kama ni project writing mbona vyuo vyote vinafanya ktk final years, research na project writing ni tofauti, hiyo project inamjengea student skill ya kujua mtililiko wa uandishi wa research...any way research gharama yake kubwa!!

Nshoma Faransa?

Is that your real name?

I know somebody by that name....could it be you?
 
Mtoa mada nadhani hujui maana ya research. Duniani kote mtu mwenye degree moja huishia kuwa research assistant hata uwe bora kiasi gani. Na kama unamaanisha kuandika papers, unaruhusiwa kuandika na ikawa published ilimradi ikidhi vigezo, lakini hutakaa uitwe researcher.

Title ya researcher ktk academic institutions huanzia degree 2 na kuendelea
 
Undergraduate kufanya research? Au unazungumzia kitu gani?

Vyuo vingine kama SUA wanafanya vitu gani?
 
Tuanze na sociology research ni option kwahiyo hapa watu wengi hawajafanya research,pili watu wa education pia nao research hasa kama topic ni option ila wengine hawafanyi,information pia,kwa ufupi social sciences hicho kitu akipo nitaendelea kuweka inapobidi

Sidhani kama unaelewa maana ya research ni nini.
 
Sidhani kama unaelewa maana ya research ni nini.

Mkuu kutumia neno research nitafsiri rahis kuwa kuna watu kwa sababu ya kuifanya hiyo topic kama ni lazima wafanye utafiti lkn tofauti na hiyo kozi kama daraja la kutumia kufanya utafiti hakuna utafiti unaofanyika kulingana na kozi ya MTU
 
Back
Top Bottom