UDSM student hangs himself - ni wa Mwaka wa Kwanza, kisa majibu ya Daktari

UDSM student hangs himself - ni wa Mwaka wa Kwanza, kisa majibu ya Daktari

duuuh HIV noma lakini jamani
rip kijana mdogo
so alianza mapenzi secondary? ni hatari lakini

Mkuu, kwa nini unadhani aliupata kutokana na kufanya mapenzi? Hujui njia nyingine zinazoweza kumfanya mtu apate HIV?
 
duuuh HIV noma lakini jamani
rip kijana mdogo
so alianza mapenzi secondary? ni hatari lakini

hw sure ur kama alipata kupitia mapenzi<kujamiiana> je? Kama aliupata kwa njia ya kiwembe,kuongezewa damu nk utajibu! We bana kipoch ukzan ndo kukwepa HIV
 
duuuh HIV noma lakini jamani
rip kijana mdogo
so alianza mapenzi secondary? ni hatari lakini

Smile jamani hii habari inasikitisha. Mungu amrehemu na kumsamehe kaka huyu.
Hii inanifanya niwaze kuwa huenda elimu juu ya kuishi kwa matumaini. maisha baada ya HIV na yafananayo na hiyo haijaeleweka ipasavyo. Lakini suala la kujiuliza ina maana hayo majibu alipewa pasipo kupewa ushauri nasaha?
 
Ninavyofamu mimi majibu huwa ni kwa mdomo tu, labda sababu ya kupima iwe ni kutaka kuoa na majibu unapeleka kanisani!! Sasa huyu bwana mdogo ilikuaje apewe cheti!!

Lakini ngoma noma wazee!
 
DSM huwa hawafanyi medical check up, wanakula hela hiyo ya chck up afu wanafunzi wanaekewa its all clear(kuna kaufisadi kadogo sema ka kimya kimya maana 5000 kila kichwa mara over 2000 people zinaenda kiulaini) anyways Back 2 topic, nashindwa elewa jamaa hiyo chck up alifanyiwa wap, cause seriously DSM HAWAFANYI CHECK UP KWA NEW STUDENTS I KNOW THAT
 
achaneni na maswala haya ya ukimwi nafikiri naweza kuwa na maamuzi kama haya la sivyo niwekewe boadguard kwa kweli nauogopa sana mie kuishi eti kwa matumaini siweziiiiiiiiiiiii ni bora sijiu nitaishi milele au nitakufa lini sijui kuliko najua lazima nife siwezi mie HorsePower my kaka help me

Suala la kupima ni la hiyari, na ni vizuri kupima kama una moyo wa ujasiri, lakini kama unaogopa mdogo wangu nivea waweza kuishi kwa sytle hii ...
1. Jitunze kuhakikisha kuwa kama hauna, hauupati tena na kama unao, basi hauambikizi wengine
2. Jitahidi kuhudhuria na kusoma makala mbali mbali za elimu ya UKIMWI ambayo inaweza kukusaidia kuufahamu huu ugonjwa kwa undani wake badala ya kudandia stori na kujikuta unaingiwa na hofu kubwa zaidi kuliko hali halisi ilivyo.

Nakutakia kheri.
HP.
 
Last edited by a moderator:
Ina maana hujui kuna mother-to-child infection pia? Watoto kadhaa waliozaliwa post 1983 ni waathirika kwa njia hii!....Poor kid......how some of you vilify him make my stomach turn upside down

mhm nilikuwa nakuelewa lakini sasa umenichanganya,watoto wa 1983,...lakin yy ana 21yrs ni wa 90s huyu,nway mayb ni lastborn.rip mdogo wetu
 
mhm nilikuwa nakuelewa lakini sasa umenichanganya,watoto wa 1983,...lakin yy ana 21yrs ni wa 90s huyu,nway mayb ni lastborn.rip mdogo wetu

Nimesema post 1983 hata huyo mwenye 21 (kazaliwa 1990+) ni post 1983.....unless post ni neno geni?

Post-a prefix, meaning “behind,” “after,” “later,” “subsequent to,” “posterior to,” occurring originally in loanwords from Latin (postscript), but now used freely in the formation of compound words (post-Elizabethan; postfix; postgraduate; postorbital).


Read more: post: meaning and definitions — Infoplease.com post: meaning and definitions &mdash; Infoplease.com
 
Back
Top Bottom