Udsm..udom..sua...mzumbe wanasubir nn kuachia mzigo

waziri yasini

Member
Joined
Jul 1, 2013
Posts
15
Reaction score
2
Tar 16...cbe waliachia mzigo...wakafuata mt meru university...bila kupoteza muda st joseph university...siku zikazid kwenda TIA...nao wakaona xo ishu wakatoa mzigo...bila kuchelewa jordan university ambalo n taw la saut nao wameachia jana....leo asubuhi arusha university nao wametoa admision zao....nazid kujiuliza hivi vyuo vinavyomilikiwa na serikali vinasubir nn....udsm..udom..sua..mzumbe...etc fanyen mambo bac
 
wanasubiri vilaza watangulie!
 
ukiona hivyo ujue hamna kitu huko..vyuo vya kata ndio vina viherehere..umeona wapi chuo kinatangaziwa redioni wanatafuta wanafunzi??
 
As you knw mzumbe sua udsm udom vina admit watu wengi so process yake haiwezi kua sawa na jordan na vingine vidogo. "Mawazo yangu tu".
 
ukiona hivyo ujue hamna kitu huko..vyuo vya kata ndio vina viherehere..umeona wapi chuo kinatangaziwa redioni wanatafuta wanafunzi??

kaka taratibu kaka! wakikucharukia wenyew mi simo! shauriyako
 
As you knw mzumbe sua udsm udom vina admit watu wengi so process yake haiwezi kua sawa na jordan na vingine vidogo. "Mawazo yangu tu".

hahahaha! Jordani! usishangae ukijaskia kuna chuo kinaitwa Ronaldo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…