Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tar 16...cbe waliachia mzigo...wakafuata mt meru university...bila kupoteza muda st joseph university...siku zikazid kwenda TIA...nao wakaona xo ishu wakatoa mzigo...bila kuchelewa jordan university ambalo n taw la saut nao wameachia jana....leo asubuhi arusha university nao wametoa admision zao....nazid kujiuliza hivi vyuo vinavyomilikiwa na serikali vinasubir nn....udsm..udom..sua..mzumbe...etc fanyen mambo bac

umeona wapi matokeo yanaaza kwa wa kwanza. Wanaaza waliofel then paka wa kwanza. Kwahyo usishange waache waaze hao sis wa serikal tutamalizia
umeona wapi matokeo yanaaza kwa wa kwanza. Wanaaza waliofel then paka wa kwanza. Kwahyo usishange waache waaze hao sis wa serikal tutamalizia
khaaa..!!! hv ww ulikuwa wap cku zote hzo mbona tangu last wik! kijana haupo serious...St.Joseph wametoa lini mkuu!!?
Hivyo ni vyuo wanaochukua vilaza. Cut-off points zao 2.5. Yaani ukipata E mbili na S moja tayari upo Chuo kikuu!!! kuna chuo hapo? Watemi wanatangazwa baadaye. Ni wale wa cut-off points 4.5 na kuendelea. Si unajua wakati wote DUME MSHINDA KURA anatajwa baadaye sana baada ya wasindikizaji kutajwa na kura zao 2.
kweli kaka mi mwenyewe nipo hapa HKMU chuo kikuu cha kata hata marafiki wangu pia wapo pale KCMC chuo cha kata.........yaani najuta kwa nini sipo UD,UDOM na SUAUdsm,sua,udom,kama ujasoma katika vyuo hivyo,ujachaguliwa vyuo hivyo,wewe ni kilazaaaaaaaaaaaaaa,tuwe wakweli,vyuo vingine hivyo,ni vya kataaaaaaaaaaaaaa.:kev:
Udsm,sua,udom,kama ujasoma katika vyuo hivyo,ujachaguliwa vyuo hivyo,wewe ni kilazaaaaaaaaaaaaaa,tuwe wakweli,vyuo vingine hivyo,ni vya kataaaaaaaaaaaaaa.:kev:
Udsm,sua,udom,kama ujasoma katika vyuo hivyo,ujachaguliwa vyuo hivyo,wewe ni kilazaaaaaaaaaaaaaa,tuwe wakweli,vyuo vingine hivyo,ni vya kataaaaaaaaaaaaaa.:kev:
kilaza ww unaenda kusoma ualimu pale udom unajifanya kichwa wakati umechukuliwa cutt point ya 3.5!! By the way nadhan hupajui aru(uclas), muhas, cuhas, kcmc, imtu, st joseph, hubert kairuki, sauti na kwingineko!! So jipange uctake umaarufu na udom yako hiyo na education yako!! Over
Kajamaa kanamuiga oil sumu
Kajamaa kanamuiga oil sumu
Niambie afande Mwita, bado uko doria?