Udsm..udom..sua...mzumbe wanasubir nn kuachia mzigo

Haraka haraka ya nini..watatoa tu..au unazani itafika had mwakani ndo watangaze..hamna anayejua sababu..mambo yataenda kama yalivyopangwa...
 
Tar 16...cbe waliachia mzigo...wakafuata mt meru university...bila kupoteza muda st joseph university...siku zikazid kwenda TIA...nao wakaona xo ishu wakatoa mzigo...bila kuchelewa jordan university ambalo n taw la saut nao wameachia jana....leo asubuhi arusha university nao wametoa admision zao....nazid kujiuliza hivi vyuo vinavyomilikiwa na serikali vinasubir nn....udsm..udom..sua..mzumbe...etc fanyen mambo bac

St.Joseph wametoa lini mkuu!!?
 
subira yavuta heri but ngoja ngoja yaumiza matumbo! kaaazi kwel kwel!
 
umeona wapi matokeo yanaaza kwa wa kwanza. Wanaaza waliofel then paka wa kwanza. Kwahyo usishange waache waaze hao sis wa serikal tutamalizia
 
Udsm,sua,udom,kama ujasoma katika vyuo hivyo,ujachaguliwa vyuo hivyo,wewe ni kilazaaaaaaaaaaaaaa,tuwe wakweli,vyuo vingine hivyo,ni vya kataaaaaaaaaaaaaa.:kev:
 
Hivyo ni vyuo wanaochukua vilaza. Cut-off points zao 2.5. Yaani ukipata E mbili na S moja tayari upo Chuo kikuu!!! kuna chuo hapo? Watemi wanatangazwa baadaye. Ni wale wa cut-off points 4.5 na kuendelea. Si unajua wakati wote DUME MSHINDA KURA anatajwa baadaye sana baada ya wasindikizaji kutajwa na kura zao 2.
 
una dharau kama ya wavaa sketi au ndo wale.Toa mwiba matakoni ukae kisha utoe wa mguuni, dharau yako ni kama ya mtu aliye jihalishia akiwa na nguo mwilini.

"Brains are awesome i wish u had one"
 
Udsm,sua,udom,kama ujasoma katika vyuo hivyo,ujachaguliwa vyuo hivyo,wewe ni kilazaaaaaaaaaaaaaa,tuwe wakweli,vyuo vingine hivyo,ni vya kataaaaaaaaaaaaaa.:kev:
kweli kaka mi mwenyewe nipo hapa HKMU chuo kikuu cha kata hata marafiki wangu pia wapo pale KCMC chuo cha kata.........yaani najuta kwa nini sipo UD,UDOM na SUA
 
Udsm,sua,udom,kama ujasoma katika vyuo hivyo,ujachaguliwa vyuo hivyo,wewe ni kilazaaaaaaaaaaaaaa,tuwe wakweli,vyuo vingine hivyo,ni vya kataaaaaaaaaaaaaa.:kev:

Akili yako kama ya mende.Samahani kwa kukwambia ukweli.
 
Udsm,sua,udom,kama ujasoma katika vyuo hivyo,ujachaguliwa vyuo hivyo,wewe ni kilazaaaaaaaaaaaaaa,tuwe wakweli,vyuo vingine hivyo,ni vya kataaaaaaaaaaaaaa.:kev:

kilaza ww unaenda kusoma ualimu pale udom unajifanya kichwa wakati umechukuliwa cutt point ya 3.5!! By the way nadhan hupajui aru(uclas), muhas, cuhas, kcmc, imtu, st joseph, hubert kairuki, sauti na kwingineko!! So jipange uctake umaarufu na udom yako hiyo na education yako!! Over
 
Kajamaa kanamuiga oil sumu
 
achen mate mengi ninyi vijana,xo mnamanisha ati ninyi ndo wakari saana. 'kufaulu kwa kuangalizia yaleta shida sana'
 
Wazo la usiku huu. Hivi sasa tcu wametoa round ya tatu ya applicants wapya na walioachwa round ya pili. Kuna tatizo gani la kutangaza selection round ya kwanza na baadaye round ya pili. Sidhani kama kuchelewa kutangaza kutabadili selection ambazo tayari zimefanyika. Wataalam wa tcu na vyuoni hebu tufafanulieni hapa.
 
Back
Top Bottom