Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,602
- 5,809
ndo ilivyo,nenda IFM,KIU,ST.JOSE,uone watu walivyonyongwa
kwahiyo vyuo vingine wakinyongwa mkopo unahamishiwa udsm?
Vigezo vya kupata mkopo havihusishi chuo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndo ilivyo,nenda IFM,KIU,ST.JOSE,uone watu walivyonyongwa
cye twasubiri matokeo.. hakyanani vyuo haviendi kalika... watu wana hasira mbaayaaa.. hasa vijana waliokosa mkopo huku kitaaa.. Nawaambieni hiiviii "patachimbika"..
si walijifanya kuchagua ccm wacha wavune walichopandaa unaweza panda mahindi ukavuna maharage??tena educated bana wanachagua ccm m niliona enzi za kina mwanyika na yule charles tunawapigia debe jamani tunataka mabadiliko wengine tukatoa mpaka na magari yetu jamani ubungo tubadilike loh...kura zilizozidi za wanafunzi wa chuo ..la hasha
polen lakini hii ndio sisiemu