UDSM: viongozi wa DARUSO waliofukuzwa,warudi kimyakimya leo.

UDSM: viongozi wa DARUSO waliofukuzwa,warudi kimyakimya leo.

Leonard Robert

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2011
Posts
11,125
Reaction score
7,373
wanafunzi hao wameonekana kwa warden wakichukua magodoro yao na na kuelekea hostel tayari kwa kufanya UE jumatatu..
Viongozi hao ni pamoja na wenyeviti wa mahall..
Swali ni je wamerudi jumla na kesi yao ya kuongoza mgomo usio rasmi imefutwa? Au ni danganya toto.
Pia nini hatima ya wale wengine ambao hawakua viongozi?
 
kama wapo viongozi wa DARUSO janvini, watujuze kulikoni..mambo haya..yamekaaje.
 
.. Kama serikali imeamua kuwaruhusu warudi masomoni, hilo litakuwa jambo la busara. Vijana wanahitaji kulelewa na sio kukomeshwa!
 
Well and good kama wameruhusiwa lakn huu ubabe huu haufai kabisa Mungu atawalaani
 
wanafunzi hao wameonekana kwa warden wakichukua magodoro yao na na kuelekea hostel tayari kwa kufanya UE jumatatu..
Viongozi hao ni pamoja na wenyeviti wa mahall..
Swali ni je wamerudi jumla na kesi yao ya kuongoza mgomo usio rasmi imefutwa? Au ni danganya toto.
Pia nini hatima ya wale wengine ambao hawakua viongozi?

Usije ukashangaa hao jamaa zenu wamenunuliwa kwa kuapa kuwa hawatafatilia tena matatizo yenu..na wamekubali kuwachinjia baharini non-leader students...
 
kama wapo viongozi wa DARUSO janvini, watujuze kulikoni..mambo haya..yamekaaje.

tupo! tupo!
Ni hivi, wala hawajarudi kimyakimya... Kuna utaratibu wa kuwahoji wanaotumikia adhabu, ambao umekuwa ukifanyika Blue Pearl tangu juma lililopita. Hao waliorudi ni wale waliohojiwa, na eti wakakutwa bila hatia, sisi wengine bado kuhojiwa, na mitihani tutaikosa kwa hakika.
 
Back
Top Bottom