Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Gazeti la habari leo linatuhabarisha ya kuwa zaidi ya asilimia sitini ya wanafunzi wa Chuo Kikuu kikongwe kulikoni vyote cha UDSM kina ukosefu mkubwa wa vitanda vya kulalia wanafunzi.................hii ni moja ya changa moto zinazoukabili uongozi wa chuo hicho mbali ya uchakafu na uchache wa majengo, uwiano hafifu wa mwanafunzi na mwalimu..........n.k......................