UDSM wafanya ubunifu wa gari la umeme

UDSM wafanya ubunifu wa gari la umeme

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
6,974
Reaction score
8,750
1. Tofauti na ilivyozoeleka Kwa wasomi nchini ambao huchambua Kwa sisi Ngumbaru tusioelewa kuhusu Jambo la kitaifa.

2. Ila Kwa makusudi ndugu hawa wanaojiita wasomi wenye ma-PhD wameamua "kunyuti" kusubiria teuzi ambazo awamu hii zimekua adimu kwao.

NB: Poleni wa-Tanganyika.

**Wao mwaka mzima wanahangaika na maonyesho Kama ifuatavyo;
I. Januari - Sherehe ya kukaribisha mwaka mpya (UDASA Club),
II. Machi - Siku ya Wanawake duniani (vitenge Kama vyote), wiki ya maji,
III. April/Mei - Wiki ya utafiti
IV-Mei/Juni - MAKISATU,
V. Juni/Julai-Sabasaba,
VI. Agosti-Nanenane.

##Hivi Ile dawa Yao ya COVIDOL bado ipo?

££Gawio siku hizi hawatoi?
UDSM_Tukutane Sabasaba.jpg
images (98).jpeg
 
Tofauti na ilivyozoeleka Kwa wasomi nchini ambao huchambua Kwa sisi Ngumbaru tusioelewa kuhusu Jambo la kitaifa. Ila Kwa makusudi ndugu hawa wanaojiita wasomi wenye ma-PhD wameamua kunyuti kusubiria teuzi ambazo awamu hii zimekua adimu kwao. Poleni wa-Tanganyika.
Hakuna cha usomi CCM wakiamua harakat zao!! Bora wavunge tu wasijefanyiwa mtima nyongo bure!!
 
1. Tofauti na ilivyozoeleka Kwa wasomi nchini ambao huchambua Kwa sisi Ngumbaru tusioelewa kuhusu Jambo la kitaifa.

2. Ila Kwa makusudi ndugu hawa wanaojiita wasomi wenye ma-PhD wameamua "kunyuti" kusubiria teuzi ambazo awamu hii zimekua adimu kwao.

NB: Poleni wa-Tanganyika.
Aisee..🤣🤣
 
Hoja nzr, nzito na yenye Mashiko.
Ninaamini Muda c mrefu watajitokeza kutoa Maoni yao.
 
Inakuaje namna hii? Taasisi ya kisomi inakua kama Halmashauri ya BUHIGWE?
 
1. Tofauti na ilivyozoeleka Kwa wasomi nchini ambao huchambua Kwa sisi Ngumbaru tusioelewa kuhusu Jambo la kitaifa.

2. Ila Kwa makusudi ndugu hawa wanaojiita wasomi wenye ma-PhD wameamua "kunyuti" kusubiria teuzi ambazo awamu hii zimekua adimu kwao.

NB: Poleni wa-Tanganyika.

**Wao mwaka mzima wanahangaika na maonyesho Kama ifuatavyo;
I. Januari - Sherehe ya kukaribisha mwaka mpya (UDASA Club),
II. Machi - Siku ya Wanawake duniani (vitenge Kama vyote), wiki ya maji,
III. April/Mei - Wiki ya utafiti
IV-Mei/Juni - MAKISATU,
V. Juni/Julai-Sabasaba,
VI. Agosti-Nanenane.

##Hivi Ile dawa Yao ya COVIDOL bado ipo?

££Gawio siku hizi hawatoi?
View attachment 2673126View attachment 2673127
Sawa tuwachambe UDSM, ila na wewe ulipo umefanya nini nasi tukipime?
 
Back
Top Bottom