Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Hakuna cha usomi CCM wakiamua harakat zao!! Bora wavunge tu wasijefanyiwa mtima nyongo bure!!Tofauti na ilivyozoeleka Kwa wasomi nchini ambao huchambua Kwa sisi Ngumbaru tusioelewa kuhusu Jambo la kitaifa. Ila Kwa makusudi ndugu hawa wanaojiita wasomi wenye ma-PhD wameamua kunyuti kusubiria teuzi ambazo awamu hii zimekua adimu kwao. Poleni wa-Tanganyika.
Aisee..🤣🤣1. Tofauti na ilivyozoeleka Kwa wasomi nchini ambao huchambua Kwa sisi Ngumbaru tusioelewa kuhusu Jambo la kitaifa.
2. Ila Kwa makusudi ndugu hawa wanaojiita wasomi wenye ma-PhD wameamua "kunyuti" kusubiria teuzi ambazo awamu hii zimekua adimu kwao.
NB: Poleni wa-Tanganyika.
wa-Tanganyika ❌️wa-Tanganyika
Sawa tuwachambe UDSM, ila na wewe ulipo umefanya nini nasi tukipime?1. Tofauti na ilivyozoeleka Kwa wasomi nchini ambao huchambua Kwa sisi Ngumbaru tusioelewa kuhusu Jambo la kitaifa.
2. Ila Kwa makusudi ndugu hawa wanaojiita wasomi wenye ma-PhD wameamua "kunyuti" kusubiria teuzi ambazo awamu hii zimekua adimu kwao.
NB: Poleni wa-Tanganyika.
**Wao mwaka mzima wanahangaika na maonyesho Kama ifuatavyo;
I. Januari - Sherehe ya kukaribisha mwaka mpya (UDASA Club),
II. Machi - Siku ya Wanawake duniani (vitenge Kama vyote), wiki ya maji,
III. April/Mei - Wiki ya utafiti
IV-Mei/Juni - MAKISATU,
V. Juni/Julai-Sabasaba,
VI. Agosti-Nanenane.
##Hivi Ile dawa Yao ya COVIDOL bado ipo?
££Gawio siku hizi hawatoi?
View attachment 2673126View attachment 2673127
Tena wamuweke mkuu wa Chuo,Makamu n.k Kisha watembee toka Dar mpaka Morogoro!
😃🤣😂😆😄😁😀Ni msiba mzito
OkayHakuna cha usomi CCM wakiamua harakat zao!! Bora wavunge tu wasijefanyiwa mtima nyongo bure!!