The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
me too
karibu sana
thanx,me nalala asubuhi kumuandalia excellent chai nisije nikaachwa buree
jaman UDSM yageuka danguro mapenzi yanafanya sehem yoyote giza likiingia,mwanafunzi mmoja wa udbs(udsm school of bussiness)afumaniwa kwenye gari la mshikaji na mshikaji wake alitoka kwenye gari kwa hasira na kumpiga kichwa auxiliary police ofisa hadi kumpasua kwenye paj la uso ,ndipo mwanaume huyo alikamatwa na kupelekwa kituon ndipo alipigwa fain ya shiling 3,000,000 na kuachiwa na katoto hako ka kike ni mwaka wa kwanza hata shule hakajazoea kanabembeleza viongiz wa DARUSO JAMBO HILI LISIFIKE Mbali kwan ofice ya dean of students ikifaham atafukuzwa chuo kwa MUJIBU wa sheria ndogo ndogo za chuo,jaman dunia imekwisha ,maeneo ya hall 3 kwa maeneo ya campus ndo uwanja wa vita kama meada ,buguruni au ambiance,jaman wengine wanauza kabisa kunavyumba maalum ukitaka unapelekwa unapata service this is terrible ma dear
Hajafa ila kagraduate, maisha yanasonga mbele, ni mtu mwenye nafasi kwa sasa.Enzi zetu mzee PUNCH angekuumbua manake angemwanika huyo binti na jamaa yake wazi mchana kweupeee!
Inaonekana "Mzee" amegraduate ama amekufa
jaman UDSM yageuka danguro mapenzi yanafanya sehem yoyote giza likiingia,mwanafunzi mmoja wa udbs(udsm school of bussiness)afumaniwa kwenye gari la mshikaji na mshikaji wake alitoka kwenye gari kwa hasira na kumpiga kichwa auxiliary police ofisa hadi kumpasua kwenye paj la uso ,ndipo mwanaume huyo alikamatwa na kupelekwa kituon ndipo alipigwa fain ya shiling 3,000,000 na kuachiwa na katoto hako ka kike ni mwaka wa kwanza hata shule hakajazoea kanabembeleza viongiz wa DARUSO JAMBO HILI LISIFIKE Mbali kwan ofice ya dean of students ikifaham atafukuzwa chuo kwa MUJIBU wa sheria ndogo ndogo za chuo,jaman dunia imekwisha ,maeneo ya hall 3 kwa maeneo ya campus ndo uwanja wa vita kama meada ,buguruni au ambiance,jaman wengine wanauza kabisa kunavyumba maalum ukitaka unapelekwa unapata service this is terrible ma dear
acha kuharibu sifa ya chuo chetu. Unavumisha kwa chumvi nyingi mno. Utapafananishaje udsm na buguruni wewe?
Acha fix wewe,kuna dent anae weza toa fidia ya milion 3 hapa udsm?
Hata mimi imenistua sana hiyo mil 3. Tena kuitoa cash..
HATA HAUSOMEKI VILE. KITU UNACHOANDIKA HAKIELEWEKI HATA KIDOGO. HIVYO VYUMBA VIKO KWENYE HALLS ZA WANAFUNZI AU? INAMAANA OFISI YA DEAN IMEWATENGEA WANAFUNZI VYUMBA VYA KUFANYIA NGONO WKT ROBO TATU YA WANAFUNZI WANAKOSA VYUMBA KILA MWAKA UDSM? JE HUYO AUXILARRY POLICE ALIYEPIGWA NI KWANINI? YEYE NDIYO ALIKUWA NA HUYO MSICHANA KWENYE GARI AU NANI? NI HAKIKA HUELEWEKI KABISA NA INAONEKANA NI HADITHI ZA KUOKOTEZA TU. HUYO MWANAFUNZI, KAWEKWA NDANI, THEN KATOA 3,000,000; HIZO KALIPIWA NA NANI? UNATEGEMEA KESI IFIKE AUXILARY BILA UTAWALA KUWA NA TAARIFA? JE HUYO MSICHANA ALIKUTWA KWENYE GARI YA JAMAA ANAONGEA AU ANAFANYA NGONO? JARIBU KUWA UNATAFAKARI TAARIFA ZAKO KABLA YA KUZIPOSTI HAPA. Na ujaribu kuwa makini na title zako, Huo Udanguro wa UDSM umetokana na nini, kwamba kuna msichana kakutwa na mshikaji wake kwenye gari; then unakimbilia kuhitimisha kwamba UDSM danguro? Jaribu kuwa na fikra za kuto-generalize Taasisi nzima kwa uelewa wako ambao inaonekana hauna uhakika na unachokiandika hapa.
Weka picha za hao wanaojiuza na hivyo vyumba kama unavyo vipo kama siyo kutudanganya hapa.