Udsm yageuka danguro wakuu

We mwanzisha thread uwe unatumia akili muda mwingine.stor yako haina mashiko!huwezi kusema udsm imegeuka danguro kwa tukio kama hilo.ile ni taasisi ya kuheshimika.so usikichafue chuo kwa ujinga wako!
 

acha kuharibu sifa ya chuo chetu. Unavumisha kwa chumvi nyingi mno. Utapafananishaje udsm na buguruni wewe?
 
Enzi zetu mzee PUNCH angekuumbua manake angemwanika huyo binti na jamaa yake wazi mchana kweupeee!
Inaonekana "Mzee" amegraduate ama amekufa
Hajafa ila kagraduate, maisha yanasonga mbele, ni mtu mwenye nafasi kwa sasa.
 


Hebu nitajie ni ni vyumba gani hivyo? Namba za vyumba nije kukamua weekend hii badala ya kwenda club maana nako si salama
 
Maana ya fumanizi yapotoshwa hapa
OTIS
 
acha kuharibu sifa ya chuo chetu. Unavumisha kwa chumvi nyingi mno. Utapafananishaje udsm na buguruni wewe?

Udsm ilikuwa zamani bhana, siku hizi watu wanasomea madirishani!!?? siku hizi watu waoga kama nini? kipindi hicho FOE inaitwa FOE. Tatizo siku hizi hata wenye Div. III na IV wanaenda unategemea nini?
 
Hiyo milioni 3 faini kalipia kwa nani? Unajua danguro ni nini?
 
We uliyepost hiyo thread uache USHAMBA.Watu wawili hawawezi kubeba taswira ya chuo kizima.Usiwaaminishe watu walione ni suala kubwa kwa ushamba wako.Hayo ni mambo ya kawaida kwa taasisi kubwa kama hiyo. Na pia, masuala ya mahusiano ni ya mtu binafsi na yasihusishwe kabisa na jumuiya nzima ya chuo kama unavyowadanganya watu.Kama wewe ni mwanachuo hapo kazana kusoma ili ujifunze mambo na uache kufuatilia mambo usiyokuwa na faida nayo. Cha msingi tumia imani yako kuwaombea ili wenye tabia hizo waache.
 
Unatangaza bizinesi kwamba watu wasiende kona bar na meeda waje mlimani ama?
 
mkuu nipo hapa udsm sasa kwa taarifa zako nilikua naomba kujua wana charge kama sh,. ngapi? ili niend hapo kwani sikai mbali na hall tajwa nipo hall 2,,,,nijuze zaidi mkuu.
 

Good analysis...... hope atajua tofauti ya hapa tweeter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…