Udsm yageuka danguro wakuu

Hayo mambo yapo. Kuanzia sekondari kwa sisi tuliosoma mixture tunafahamu. Kama roho inakuuma na wewe tafuta wa kwako.
 

The best and the greatest university in Tanzania
 
Hayo mambo yapo. Kuanzia sekondari kwa sisi tuliosoma mixture tunafahamu. Kama roho inakuuma na wewe tafuta wa kwako.

kumbe umesoma mixture mzee?wenzio tumewaonea mademu chuo.
 
Udsm ilikuwa zamani bhana, siku hizi watu wanasomea madirishani!!?? siku hizi watu waoga kama nini? kipindi hicho FOE inaitwa FOE. Tatizo siku hizi hata wenye Div. III na IV wanaenda unategemea nini?

mbona uko nje ya mada mkuu,hayo mambo ya FOE na kusomea madirishan yanahusiana nin na mada inayozungumzwa?
 
ndo mambo ya utandawazi hayo..safi sana vijana wangu
 
Kwa chuo hiyo ni kawaida kinyume chake hiyo si university, kwani danguro kwa chuo ni sehemu yake ulitaka wakajifunzie wapi?? Mwenyewe unajua baada ya hapo ni home na kazini tayari majukumu yanabana huwezi tena biashara hiyo
 
hakuna faini ya 3m ktk sheria hiyo, usitudanganye pia hayo ni matokeo ya kumkataa Mungu
 
Hall 3 block gani? A, B,C,au D ?? kuwa specific bwana
Kwani pale Main Campus kuna Blocks hizo unazotaja? Mimi nilifikiri kuna hall 1, 2, 3, 5, 6 na kadhalika halafu Mabibo ndio kuna Block A mpaka G (pale kwenye tanki). Sioni cha ajabu hapa mambo hayo yapo kila sehemu, kila chuo na hata huku uraiani> By the way watoto wamekosa mikopo sasa wafanyeje na maisha mjini yanakaba?
 

Hall 2 + 5 ndo pekee free standing...the rest kuna A, B, C etc...
Kwa hiyo maisha yakikaba wauze nanihii zao?
All in all, wengi wanaponzwa na tamaa zao....

 

hiyo hali imeizidi ile ya sodoma na gomora? mbona hiyo maneno ni ya siku nyingi sana hapo tangu enzi na enzi. ulizia utaambiwa sio unahukumu chuo kizima kwa tukio moja ndugu
 
Mambo ya kawaida sana mkuu,enzi zetu tulikuwa tunazuka uchaka Changanyikeni.
 
Nenda mabibo hostel,ndo utajua ufuska unaofanyika pale uwanjani!
 
UNIVERSITY OF PROSTITUTE DAR-ES-SALAAM

hamna elimu hapo,,watu wanamaliza na mimba, wengine ni ndoa..... ... hawasoni haoooooooo
 
University haiwezi kukamilika bila kuwa na madanguro!
 
UNIVERSITY OF PROSTITUTE DAR-ES-SALAAM

hamna elimu hapo,,watu wanamaliza na mimba, wengine ni ndoa..... ... hawasoni haoooooooo

cha ajabu ni nini?? Kumaliza chuo na mimba sio kigezo cha kuwa hawasomi!! Kwani hao ni watoto wa sec.? Ni watu wazima wenye akili timamu!!
 
 
mbona uko nje ya mada mkuu,hayo mambo ya FOE na kusomea madirishan yanahusiana nin na mada inayozungumzwa?

huyo mkuu vipi? mbona anakurupuka hivyo? huu upupu umezidi, hakuna dvs iv udsm. halafu kunatofauti gani kati ya FOE na FOE? udsm sikuhizi hakuna fuculty bano ni mwendo wa SCHOOL OF ......
kwenye mada, UMALAYA NA UFUSCA NI HOBI YA WATU, AIHUSIANI NA VYUO, ila sehemu kama udsm kuna watu wengi na kunamazuri na maovu, ila wewe umeamua kuripoti ufusca. tunashukura,
 

VAMPA likes this
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…