UDSM yaingia mkataba kujenga kituo kikubwa cha biashara zaidi ya Mlimani City

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
6,559
Reaction score
12,518
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Chasaini Mkataba Mkubwa kwa Mradi wa Kituo cha Biashara cha Hill Park

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa kushirikiana na Watumishi Housing Investments kimesaini rasmi mkataba wa TZS bilioni 8.5 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa ndoto wa Hill Park Business Complex.

Mradi huu utakaochukua eneo la mita za mraba 12,498.5 utajumuisha maeneo ya biashara, migahawa, benki, huduma za urembo, huduma za ukarimu, maeneo ya kuchezea watoto, na huduma nyingine nyingi—zote zikilenga kuhuisha maisha ya chuo na kuhudumia jamii kwa ujumla.

Hii ni hatua ya kishujaa kuelekea uzoefu wa kisasa, wenye mvuto, na unaojitegemea kifedha kwa wanafunzi na jamii ya chuo.
 
Ardhi iliyoneemeka kuliko huku mpijimbi palipododa tangu kuumbwa kwa ulimwengu, sawa na Bwana ndoto "Yusufu" alivyoneemeka kuliko Kaka zake Reuben...😊😅
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Kama mradi huu ni eneo la Chuo wasisahau pia na kujenga Hostels za kutosha ili wanafunzi waweze kukaa karibu na Chuo (after all hao wanafunzi ndio first Product kulingana na objectives zao); Nawakumbusha tu wasijejikuta Primary Objective inakuwa Secondary and Vice Versa...;
 

Udsm ina maeneo mengi sana. Sehemu za kujenga hostel hazijawi kuisha
 
Nyerere alikuwa mjinga sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…