UDSM yaongoza kwa ubora A.M

Kenya inapotoa vyuo 5 na tz inatoa 1,udsm ni ya 23 africa mhhhhhhhhhhhhh
 
Hivi vigezo ni nini? Labda ina rank hio namba kwa kudesa na kutunga mitihani ya multiple choices
 

Eti eeeeeee!!!
 
Chuo kikuu cha Dar es salaam kimeshika namba 11 Afrika, ikiwa namba 1 Afrika Mashariki, huki Nairobi kikishika namba 14 au namba 2 A.M. Zaidi fungua link2012 World University Ranking | Top 100 Universities in Africa

The aim of this website is to provide an approximate popularity ranking of world Universities and Colleges based upon the popularity of their websites. This is intended to help international students and academic staff to understand how popular a specific University/College is in a foreign country.


The 4icu.org do not claim - by any means - to rank organisations or their programs, by the quality of education or level of services provided. The 4icu.org University Web Ranking is not an academic ranking and should not be adopted as the main criteria for selecting an higher education organization where to study.
 

umejieleza vizuri sana,hakuna sababu ya kuisifu udsm,product yake inatesa nchi kwa wizi nadhani huwa ni chuo cha kufundisha mbinu za wizi
 
Udsm kitu gn,kilikuwa kinatesa zaman tu but now days hakuna kitu hapo,afteral sion sbb ya kukisifia sn kwsbb product zake ndo zimetufikisha hapa tulipo,50 yrs ya uhuru bado twatembea kwa barabara za vumbi na viongoz ndo wametoka hapohapo udsm kinachosifiwa hapa.
 
Ukweli wa mambo ni kwamba UDSM ni chuo cha kichovu na haina maana mtu uki point out uchovu wake basi ulikosa alama zinazokidhi udahili wa hapo.

Wapo watu ambao hata hawakuwa na mpango wa kwenda kusoma hapo licha ya kukidhi vigezo vyote.

reality unaijua lakini mzee.... labda nawe pia ulikosa marks!
 
Nadhani watu wana comment title, hawajui hata kilichoandikwa humo.. Hizo rank zinaonyesha POPULARITY ya vyuo na sio issue ya ACCADEMICS ranking..
 

kwahiyo wewe unahisi ni chuo gani bora tz kushinda vingine
 
Katufu UDSM itakuja haribiwa na general selection ya TCU, Wahadhiri wawe ngangari ili kuchuja pumba na mchele maana wanafunzi wengi kutoka Yeboyebo ni vilaza sana tofauti na awali ambap chuo kilikuwa kinachukua best of the best students.

Hivi Dr. Osoro wa Economics Department bado yupo? Alishaacha kukamata vilaza?
 
SUA ni namba moja tz UDSM ni porojo za kujitangaza kama ni elimu kwa umma SUA ilishakuwa na tv cku nyingi na ina research centres sehemu nyingi kwa msaada wa JICA na wana programmu nyingi zinazowagusa direct wananchi vijijini mfano ni SUA Centre for Sustainable Rural Development....SUA is the best in country
 

from academic to social/living standards, UDSM=growing hell
 
suala la kutoa mafisadi halina mashiko coz kuna makamanda wa kupambana na ufisadi wengi tu wamepikwa udsm, sijui hilo mtalisemeaje.
Tatizo letu tumezoea kuponda hata visivyo stahili.
 
Tatizo mnaponda Udsm then hamsemi kipi bora?
 
umejieleza vizuri sana,hakuna sababu ya kuisifu udsm,product yake inatesa nchi kwa wizi nadhani huwa ni chuo cha kufundisha mbinu za wizi

nakumbuka nilipokuwa level za chini kielimu nilikuwa nikisikia chuo mnafundishwa jinsi ya kuiba! kuongeza sifuri mbele, by that time nlikuwa nakijua udsm tu! kumbe kweli bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…