UDSM yaongoza kwa ubora A.M

Mimi nilichokiona ni kuwa hiyo taasisi qulification wanayotumia ni kuangalia umaarufu wa chuo hususani wakiangalia upande wa website yake. Ila hawatazami sifa au ubora wa elimu wa chuo husika. Kwa hiyo sijaona ubaya hapo.
Halafu watu tunapaswa tuelewe kuwa chuo kikuu chchote kina kazi 3 kuu ambazo ni Training,research and consultancy,kwa hiyo haitupasi kupima ubora wa chuo kwa kuangalia training capacity yake tu.
 
io syt ni PoPULARITY,kwa upande wa WEBMETRICS(Quali)ty ni 23rd
 

23rd ni Webmetrics -upande wa quality! 11th ni Popularity!
 

23rd ni Webmetrics -upande wa quality! 11th ni Popularity! Kwa io website zpo mbili..za kucheki.. 1.ya ubora 2.ya kujilikana ndo io 4icu
 

Bora umenifanya niseme, inaonesha jinsi gani mliomaliza mlimani mnavyokosa justifiable evidence, akili zenu zinabaki kwenye mabox. someni vijana shule yenu bado kabisa. mnasifusifu tu. Hata mimi nilikuwa nadhani udsm ni chuo kizuri sana nilivyomaliza kusoma ulaya kwa hawo wakoloni wenu nikajisikia nikaona udsm ni kama tuition centre tu. tokeni kwenye mabox vijana. nchi inachelewa kuondoka. ona mtego mdogo tu unawashinda, hao jamaa hawapimi academics, kwa kipimo chao hata udom itakuja kuvipita vyuo vyote vya kanda hii, kwa mikakati ya kukijenga, maana HUDUMA NA nyanja zote zimetegwa pale, NASA,IBM, MSN wameshatia timu pale. kila kona michezo bado, sayansi imeshabisha hodi, jaman tokeni kwenye fikra za mwl. siasa zinaua taaluma nchini...changieni kweny katiba mpya chuo vikuu ziwe taasisi huru zitoe wanasayansi, wanataaluma, siasa za kina mukandara,bana zikae pembeni..jamani jamani jamani ukisoma ulaya hapa kwetu inauma sana...mnaniudhi!!!
 

Mh Usibitisho ni muhimu jamani,hayo maneno rangi nyekundu...mi simo namuachia mtoa mada.
 
Wana2mia criteria zp kupma ubora wa vyuo?
 
Huu mjadala wa kugombea ubora wa vyuo sijui utaishi lini?
 
Chuo kikuu cha Dar es salaam kimeshika namba 11 Afrika, ikiwa namba 1 Afrika Mashariki, huki Nairobi kikishika namba 14 au namba 2 A.M. Zaidi fungua link2012 World University Ranking | Top 100 Universities in Africa

WALIPOKUWA VIPOFU, MWENYE CHONGO ANAKUWA MFALME!!!!! UDSM mna mapungufu na matatizo mengi kiasi kwamba msingekuwa mnaongelea nafasi yenu KATIKA WASHINDWA!!!!

JIPANGENI JAMANI UDSM IRUDISHE JINA NA NAFASI YAKE!!! Msiifanye nayo ikawa taasisi ya KISIASA .............WAACHIENI WASOMI WALAU SEHEMU YA KUSEMA UKWELI; KUTAPILA HASIRA NA MTUMIE INPUT YAKE KUSAIDIA NCHI IAACHE KUWA mnavyoifaya sasa; choo cha stendi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…