Udsm yaporomoka katika viwango vya vyuo bora afrika, udom yang'ara, makerere yafunika

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
Kwa mujibu wa ripoti ya Webometrics ni kuwa chuo kikuu cha Dar es Salaam kimeporomoka katika Rank zake zilizotolewa hivi karibuni. katika rank hizo chuo cha Udom kimeingia kwa mara ya kwanza na kushika nafasi ya 307 Africa na kuvishinda vyuo vingi vikongwe barani afrika, africa mashariki na Tanzania. Nchini Tanzania chuo cha udom kimeshika nafasi ya kumi na moja
katika ukanda huu wa Africa Mashariki chuo kilichoongoza ni chuo kikuu cha Nairobi kilichoshika nafasi ya 9 Africa, huku chuo cha Makerere kikishika nafasi ya 10.chuo kikuu cha Dar es salaam kimeshika nafasi ya 28 barani Afrika huku chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine kikishika nafasi ya 92.
Vyuo vingine vya Tanzania vilivyoingia katika ranks hizo ni
Muhimbili nafasi ya 116 Afrika
open university of Tanzania 132
Hubert Kairuki 163
Mzumbe University 191
kcmc 230
Ardhi 501
St John 509

vyuo vya Sebastian Kolowa, Tumaini university(Agriculture) na University of Arusha ndio vimeshika Mkia katika ubora wa elimu nchini Tanzania kwa kushika nafasi za 32, 33, 31 respectively
source:Tanzania, United Republic of | Ranking Web of Universities
source2:Africa | Ranking Web of Universities

===================================================

 
Asante kwa taarifa ila wabometrics ni taasis inayoshughulka na nn ...msaada tafadhal
 
Nafikiri katika ranking hizo kuna mambo mengi yanaangaliwa , na cha muhimu kuliko vyote ni points ambazo chuo kinapata kwenye excellence rank, na kwa haraka haraka ukiangalia hapo vyuo ,vyenye uhafadhali ni No.1 Muhimbili, No. 2. UDSM, No. SUA, sio UDOM tu wanaoendekeza siasa za Kiccm, pia UDSM kuna Lectures wengi ndo kazi yao hiyo. Namkumbuka sana Benson Bana
 

Nakubaliana na wewe pia ni kutokujua tu kwa nini unaiacha Open Univ ? Hakika mngelijua hicho chuo ni bora sana kuliko vyuo vingi sana hapa TZ kwa huku makazini pia uliza na waajiri wengi Open University wana Product nzuri sana.
 
HONGERA chuo chang lazm wakae mwaka huu. love u udom, love u COed
 

We Acha Utani Yani Cha Kwangu Kibongobongo Ni cha 9 Halafu Kidunia Ni Cha 13405?????? Hapana Haiwezekani na Nakata Rufaa!!!!!!!!!!!!!
 
Hongera chuo changu SAUT.

We're Building the City of God. Big Up and Long Live Nyegezi Social Training Institute ( NSTI ) na Sasa Saint Augustine University of Tanzania ( SAUT ).
 
TANO BORA KWA TANZANIA ni
1.Muslim University of Morogoro (MUM)
2. Sebastian Kolowa
3. Teofo Kisanji (TEKU)
4. University of Dar es Salaam (UDSM)
5. Ardhi University (ARU)
 

Wewe utakuwa unasoma UDOM unatafuta faraja tu.
Tambua kuwa kufananisha UDOM na vyuo serious IS AN ACADEMIC CRIME. Jipange upya.
 
Welcome home of intellectual,nikiacha SUA,ARDHI, na Muhimbili..apart from hao kila mtu alikua anawish kusoma Udsm. Am proudly to be Udsm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…