Udsm yaporomoka katika viwango vya vyuo bora afrika, udom yang'ara, makerere yafunika

Yatupasa tujivunie nini tulichokipata chuoni tulipo somea na wala sio jina la chuo!yatupasa kujiswalika wenyewe kama vle; je ulichokipata kinauzika mtaani?je unaweza kuhimili ushindani wa ajira? N.k
 
Na hata zaidi ya ajira kuna personal creativity and productivity.

Unachosoma kina make sense au unafuata mkumbo tu?

Ndiyo maana mimi nikatoa mfano, kuna mchizi katoka zake Ukraine huko, familia yake iliona rhumba kali imeenda unyamwezini, hata kiingereza cha tabu. Walikuwa wanategemea welfare checks za serikali baada ya mzazi wake mmoja kufa kwa kansa.

Kajibanabana hivyo hivyo kaanza chuo, kaona chuo hakina mpango ka drop out, kajifunza mwenyewe computer programming, kafanya.kazi Yahoo, kapata ujuzi na network, kaacha kazi, kaanzisha Whatsapp na rafiki yake.

Kabadilisha jinsi text messaging system zinavyofanya kazi dunia nzima, katuwezesha kutumiana text kutoka simu yoyote yenye mtandao kwenda simu yoyote, bila kulipa.

Juzi Facebook wametangaza kununua Whatsapp kwa USD bilioni 16, na nyingine USD bilioni 3 wanapewa cha juu. That's some cool 19 billion USD, halafu bado anaendeleza libeneke Whatsapp, with some degree of autonomy.

Sie tunang'ang'ania majina ya vyuo na madegree, mpaka ya kununua, wenzetu ma dropouts hao kina Bill Gates na huyu dogo wa Whatsapp wanabadilisha dunia inavyoenda.
 
Nyie endeleeni kuangaika na hivyo vyuo badala kufanya mambo ya maana. cjui udsm cjui udom mala muhimbili mtakapo shituka tayali miaka 45 isha fika hata baiskel huna look very
 
Na hata zaidi ya ajira kuna personal creativity and productivity.

Unachosoma kina make sense au unafuata mkumbo tu?

Ndiyo maana mimi nikatoa mfano, kuna mchizi katoka zake Ukraine huko, familia yake iliona rhumba kali imeenda unyamwezini, hata kiingereza cha tabu. Walikuwa wanategemea welfare checks za serikali baada ya mzazi wake mmoja kufa kwa kansa.

Kajibanabana hivyo hivyo kaanza chuo, kaona chuo hakina mpango ka drop out, kajifunza mwenyewe computer programming, kafanya.kazi Yahoo, kapata ujuzi na network, kaacha kazi, kaanzisha Whatsapp na rafiki yake.

Kabadilisha jinsi text messaging system zinavyofanya kazi dunia nzima, katuwezesha kutumiana text kutoka simu yoyote yenye mtandao kwenda simu yoyote, bila kulipa.

Juzi Facebook wametangaza kununua Whatsapp kwa USD bilioni 16, na nyingine USD bilioni 3 wanapewa cha juu. That's some cool 19 billion USD, halafu bado anaendeleza libeneke Whatsapp, with some degree of autonomy.

Sie tunang'ang'ania majina ya vyuo na madegree, mpaka ya kununua, wenzetu ma dropouts hao kina Bill Gates na huyu dogo wa Whatsapp wanabadilisha dunia inavyoenda.

Mfano mzuri ulioutoa lakini nadhani unatambua tofauti tulizo nazo, sisi tuna fight for food and security wakati wenzetu hivi vitu tayari wanavyo.
 
Back
Top Bottom