Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,911
- 3,016
Utafiti mbele yako ni ule uliofanywa na Wazungu....Utafiti mmefanyia wapi na lini?
Ovyo kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utafiti mbele yako ni ule uliofanywa na Wazungu....Utafiti mmefanyia wapi na lini?
mi nilizani nakutana na "app" ya mafukizi mkuu😆😆neno "kidigitali" limetumika mahala ambapo sio sahihi.
Sasa Maprof wenyewe ndio hao dizaini ya kina kabudu na bashiru kweli kuna ubunifu hapo? Ni full mautopolo.Ni ujinga uliopitiliza Chuo Kikuu kinachoheshimika nchini kufanya ujinga kama huu. Wenzao duniani wanafanya research za kitaalam na wao wanakuja upuuzi kama huu.
wewe naona hujiwezi hivyo hutoyaweza ya wenzio. ivo tulia tu dawa ikuingie kisanduku mwingine ww!Utafiti mbele yako ni ule uliofanywa na Wazungu....
Ovyo kabisa
"lazalaza, ni kweli Mkuu maana UDSM ilishabaki na sifa ya kuzalisha wanafiki na wnaharakati tuHongera wanasayansi hii ndiyo kazi zenu
"lazalaza, ni kweli Mkuu maana UDSM ilishabaki na sifa ya kuzalisha wanafiki na wnaharakati tu
Kila kitu kiko wazi kwenye karatasi ya maelezo ndani ya bahasha yenye dawa.Utafiti mmefanyia wapi na lini?
Tuwekee hapa tuone tupate kuaminiKila kitu kiko wazi kwenye karatasi ya maelezo ndani ya bahasha yenye dawa.
Tafiti za sasa zinaonesha kuwa CORONA si ugonjwa wa njia au mfumo wa hewa bali ni ugonjwa wa mfumo wa damukwa miti mbalimbali yenye kutoa mafuta ambayo yanasaidia kuzibua mfumo wa upumuaji ulioziba