Wadau sasa imefahamika wazi University of Dar es Salaam (UDSM) imekuwa ya 28 katika vyuo bora Africa. Tofauti na fukununu za mwanzoni ati ya 4 Afrika Fuatilia link hii http://www.weboetrics.info/en/Ranking_Africa
SUA kimekuwa cha 92 usiniulize Mzumbe na UDOM vimeshika namba ngapi. Muslim University of Morogoro (MUM) ndo ngololo tupu.