Udsm yawa ya 28 kwa ubora africa 2013

Udsm yawa ya 28 kwa ubora africa 2013

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Wadau sasa imefahamika wazi University of Dar es Salaam (UDSM) imekuwa ya 28 katika vyuo bora Africa. Tofauti na fukununu za mwanzoni ati ya 4 Afrika Fuatilia link hii http://www.weboetrics.info/en/Ranking_Africa

SUA kimekuwa cha 92 usiniulize Mzumbe na UDOM vimeshika namba ngapi. Muslim University of Morogoro (MUM) ndo ngololo tupu.
 
mbona umeandika kikuda.,kama una bifu hivi. We mkimbizi?
 
Sasa mambo ya mwaka jana sie yanatuhusu nin,au umesahau kua tuko 2014?
 
Back
Top Bottom