UDSM yazidi kuchanja mbuga katika nyanja za kimataifa kwa ubora wa elimu

UDSM yazidi kuchanja mbuga katika nyanja za kimataifa kwa ubora wa elimu

Ubora wa chuo sawa je wahitimu wake ni bora?mbona walimu waliomaliza udsm kufundisha 2 kunawatoa jasho?mi nafundisha nao sijaona jipya na hawaonyeshi kama kweli wamesoma chuo bora
 
kwa ripoti niliyopata kutoka kwa profesa mmoja wa UDSM ni kuwa katika ranking za vyuo bora Afrika kwa kuwa nafasi ya tatu na siyo sita kwa South Africa kuwa mbele kwa nafasi mbili zaidi za juu,na akadokeza kuwa ilitakiwa tuwe wa kwanza ila watu wanavyotumia vigezo vya kupanga ranking ni vya kishamba lakini kitaaluma tuko juu.

Kitaaluma mpo juu? contribution yenu katika medani za akademia ni nini? maprofesa wenu wamegundua nini? wameandika vitabu vinavyosomwa na mataifa mangapi duniani? student lecturer ratio ikoje hapo mlimani? ubora wa utafiti mnaofanya hapo mlimani ukoje? usikurupuke. fanya utafiti kwanza.
 
ww kweli ni chizi..baada ya kuwaza jinsi gani utajikomboa kuondoa umasikini ulionao eti una fikiria udsm iko juu!! fikiria jinsi ya kupata hela bwana mdogo...!
 
Vyanzo sahihi ni muhimu na sio kuleta porojo za kwenye kahawa hapa.
 
acheni kuleta mada za kipumbavu km hy leteni issues constructive
 
hata mseme vipi UDSM bado iko juu,nyie mnaosoma vyuo vyenu hvyo vya kata,najua mliapply na UDSM ilikuwa first choice lakini kutokana na matokeo yenu mabovu mnaanza kukiponda chuo,chuo kinatoa product nzuri ndani na nje ya nchi,kwhyo km huna cha kupost kaa kimya,wanaUDSM ndo watajibu hili
 
Malengo ya kuanzishwa hivi vyuo yaani coet na dit/AIT/MIST ni tofauti kabisa mkuu, jaribu kufuatilia utaelewa nini namaanisha.

malengo ya udsm/coet ni kuzalisha viongozi katika fani ya uhandisi na pia research,,,,ila malengo ya d.i.t ni kuzalisha mtaalamu bora katika fani ya uhandisi,,,,tofauti ni Bsc na BEng,,,ila mtaani watu waliosoma D.i.t ndo wenye soko zaidi na wale waliosoma D.i.t na udsm ktk nyankati tofauti,,ila chuo hakina nafasi katika ubora wa mtu sanasana udsm,,,,,
D.i.t home of engineers
 
Vyuo vyote ni vizuri na ni bora, hata ukiangalia course content zao zinafanana tu, isipo kua DIT course content zao zipo tofauti kidogo na vyuo vingine.. all in all panapokua kuna vingi lazima mmoja awe kiongozi na for tanzania UDSM ndio baba lao.. Kiukweli hata mimi nilikuaga napatamani sana na nimefanya application hapo za B.com in finance na B.sc in actuarial.. but nimebahatika kupata chuo tofauti na hicho ambacho ni bora zaidi. UDSM ni chuo cha taifa, so tuache porojo. Kila nchi ina chuo chake cha kitaifa na taasisi pia
 
najua ww moes imekuuma kwa sababu uko sekomu,right ungejua usingepost hata kidogo,km huna cha kuongea kaa kimya,hapa ni kwa ajili ya wanaUDSM tu kwa kupost na si vinginevyo
 
nashukuru sana kwa kuelewa hlo-young forever na oil sumu
 
japo nasoma UDSM UDBS ata udsm ikishika namba 1 kidunia mie sitafaidika na chochote.,kwanza cjapata 1st year wa kunibeba kama yupo hapa ani pm
 
ila ww nyangi nahisi uliumia sana badala ya kukosa kuchaguliwa UDSM,na wakakupeleka DIT,ndo mana unajaribu kutetea chuo chako,ila wakati unaaply UDSM ilikuwa first choice lakini ukakosa sifa,pole sana
 
ww ucjali SODOKA madogo bado wengine wapo jkt,punde wakitoka utapata tu wa kukubeba,mm mwenzako nmeshampata dogo wakunibeba.
 
jamani mnanikumbusha tulivyoingia chuo kipindi kile mara oh UDSM IS THE PLACE TO BE, MABIBO HOSTEL IS HALF LONDON,MARA OH UKIWA UD FULL SAKAFU HADI CHUMBANI,ila ukweli ni kwamba UD ina miundo mbinu mbovu sana vyoo vinakosa maji ata wiki kuna kipindi madent wanatoka main campus wanaenda kuoga mabibo hostel and vice versa, lecture room aziendani na idadi ya wanafunzi,chakula kibovu sana,usalama wa wanafunzi na mali zao ni finyu kwa leo naishia hapa yapo mengi nyuma ya chuo changu pendwa.

wewe ulidisco,au unadhani ckufahamu?
 
najua ww moes imekuuma kwa sababu uko sekomu,right ungejua usingepost hata kidogo,km huna cha kuongea kaa kimya,hapa ni kwa ajili ya wanaUDSM tu kwa kupost na si vinginevyo

sekom ndio wapi uko?, nadhani haujatenda haki kwa kutaka wana udsm tu ndio wachangie kubali challenge kijana.

by then mi sio mwanafunzi kwa sasa ninapiga mzingo kwenye shirika kubwa ambalo nikikutajia utanisumbua sana kuomba vipoketi money.
yah of kozi secondari nimepiga shule ya kata,Alevel nikapiga special school PCB,universt nikapiga chuo kikuu kikongwe kabisa apa east afrika(medical school).
Lakini kamwe siwezi dharau mtu sijui kasomea chuo kichanga.
 
kwa ripoti niliyopata kutoka kwa profesa mmoja wa UDSM ni kuwa katika ranking za vyuo bora Afrika kwa kuwa nafasi ya tatu na siyo sita kwa South Africa kuwa mbele kwa nafasi mbili zaidi za juu,na akadokeza kuwa ilitakiwa tuwe wa kwanza ila watu wanavyotumia vigezo vya kupanga ranking ni vya kishamba lakini kitaaluma tuko juu.

Hiyo itakuwa habari za mvunguni kwani sasa ndo inazidi kushuka kwa kasi kubwa
 
ndo mana nyinyi mnashindwa kuwahudumia wagonjwa we2,anayetaka kupasuliwa kichwa anapasuliwa mguu tena mwenye kupasuliwa mguu mnamfanyia operataion ya kichwa,afu unajiita doctor ww ni mshenzi sana,ndo maana wagonjwa wengi wanapelekwa india kwa matibabu zaidi kwa sababu ya utendaji wenu mbovu,UDSM bado iko juu.
 
Back
Top Bottom