UDSM yazidi kuchanja mbuga katika nyanja za kimataifa kwa ubora wa elimu

mi nadhan udsm ni bora AFRICA kwa kuzalisha MAFISADI PAPA na WALANGUZI wasio na chembe ya uzalendo kwa TAIFA langu la TANZANIA zaidi ya porojo nyingi na kujinufaisha wao binafsi wakiwaacha watanzania walio wengi maskini.Shame on u.....!
 
haswaaaa....
 
ndo mana umepelekwa kampala university baba erne
 
nyangi ma.a mbona mbishi kama dagaa,shut your mouth
 
vyuo vya kata afu degree zenu mnapewa tu mezani,uje UDSM shule ni ngumu,nahisi ungedisco first semester
we dogo acha ushamba mjn umekuja juz leo unajitia kburi.vyuo vya kata ndo vp!kaa usome acha kelele.poor u.
 
Weka uzi wako kwenye tetesi.

Huu ni udaku na siyo topic yenye mashiko kwani haina uthibitisho wowote.

Kupanda au kushuka nafasi ni mpangilio wa namba tu,unaopangwa na watu ambao pia huweza kuwa ni vilaza,haimaanishi kupita UDSM kunaashiria kuwa na IQ kubwa au ukigraduate kazi itakuwa inakusubiri mlangoni.

Ni ushamba kuwa mshabiki wa jambo bila kujua chanzo,vigezo na vyuo vishindanishwa.
 
UDSM ndO mama wa elim ya ju tz.ChUo bora africa ikfuatiwa na sua. Udsm woyeee!!!
 
Mkuu umetumia cha arusha au ni cha mbeya wakati unaandika huu uzi manake sijaelewa hii ni tetesi au ni maoni ya huyo prof.....!?
 
udsm udsm kitu gan bwana! we angalia list ya mafisadi na wale ma engineer wanaodondosha madaraja, maghorofa na wanaotengeneza barabara baada ya mwezi zinageuka mahandaki karibu aslimia 98 wanatoka UDSM.
UDSM inatoa ma engineer wa madesa nasikia kuna maingineer waliograduate DSM walipewa tenda ya kudisgn mchoro wa daraja la kigambon wakashindwa ikabidi serikal iingie gharama ya kutoa tenda kwa ma engineer wa china! AIBUUU UDSM...!!!!!!
 

so what?, hivi vitoto vya first year vijinga sana
 
Masiikini profesa mzima anakunywa viroba...
 
hamis mohamedi big up sana,wote mnaoipondea UDSM ni vilaza sana sana,UDSM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
We hujielewi nini!!!!
utakuwa wa Kayumba University wewe.
Pole kaka ,japo inawezekana uliyosema ni sahihi lakini sio kazi ya chuo kuangalia maisha ya watu baada ya kugraduate
 
We hujielewi nini!!!!
utakuwa wa Kayumba University wewe.
Pole kaka ,japo inawezekana uliyosema ni sahihi lakini sio kazi ya chuo kuangalia maisha ya watu baada ya kugraduate
 
Kama mtu bado ana fikra za namna hii (chuo flani ni bora kuliko kingine) basi naweza kusema anahitaji ukombozi wa kifikra kwa kifupi hajaelimika na elimu yake haijamsaidia. Kutambua uwepo wa hizi Univ.Ranking na kwamba chuo gani ni no. ngapi ni sawa kabisa but kama ukitake this as an advantage na ukajiona kuwa wewe ni bora kwa kuwa umemaliza katika chuo bora tena kwa kigezo hichi cha Ranking basi you are totally wrong kwani kugraduate katika chuo bora hakumaanishi kuwa na wewe ni bora.Ukiweza kufafanua ni kwa namna gani vigezo vilivyotumika katika Ranking vina uhusiano gani katika kutoa best graduate ntakubaliana na wewe.Ukifuatilia katika interviews haiangaliwi kuwa umesoma wapi bali unajua nini(though sikatai zipo baadhi ya sehemu za kazi kuwa shortlisted umesoma wapi inaweza kukubeba) , Ni sawa umesoma chuo flani unachoamini kuwa ni bora then prove that you are good.Ni ukweli usiopingika katika nchi nyingi kuna chuo kinachokuwa na hadhi ya juu na publically well known either kulingana na Historia or other reasons(nimebahatika kusoma nchi nyingine na nimeliona hili) kwa mfano hapa Tanzania ni udsm,but hii haimaanishi kuwa ukisoma udsm basi automatically you are good.Unaeza kuwa umesoma ktk chuo unachoamini kuwa ni bora lakini usipofanya personal efforts na kuwa creative then utaishia kukariri yale ya darasni na kufaulu mitihani tu na mwisho wa siku utagraduate withouth enough skills kuingia ktk soko la Ajira(huku kichwani ukiwa na ideology kuwa umemaliza chuo bora).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…