Udsm

pemgtoonet.com

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
879
Reaction score
618
Mimi ni mwanachuo wa mwaka wa pili udsm,natafuta first year wa kunibeba. Awe binti kwasababu nami ni binti. Semester ya kwanza nalipia ROOM yote mimi. Ni pm kwa aliye tayari.
 
bora uwatafute kwenye list ya selected students hasa skuli uliyo soma olevel..... au 2mia marafiki wako wengine kutafuta..... humu ndani magumashi 222222.........
 
nashukuru mdau kwa ushauri...maana kuna kuna wakurupukaji wengi siku hizi humu.
 
niliwah kuweka thread NATAFUTA KUBEBWA mpaka leo cjapata,yeyote mvulana 1st year ani PM au 0685733122 magumashi tuache wana JF
 
Nyie hii tabia ya kubebana acheni maana mashoga wengi na wasagaji hicho ndo chanzo chake dk ndondi kashawatibu wanafunzi wengi sana hapo udsm hasa hapo mabibo hosteri au upumbafu acheni kwa kisingizio kubebana hasa nyie mnaotafuta watu wa kubebana
 
Nanunua chumba, hasa campus (male-room). Kwa ambaye atakuwa tayari naomba aniPM.
 
Nyie hii tabia ya kubebana acheni maana mashoga wengi na wasagaji hicho ndo chanzo chake dk ndondi kashawatibu wanafunzi wengi sana hapo udsm hasa hapo mabibo hosteri au upumbafu acheni kwa kisingizio kubebana hasa nyie mnaotafuta watu wa kubebana

wewe unasoma SEKOMU?
 
vp uwezo wako wa kufikiri ndiyo umeishia hapo tu?
 
Kubebana hakuingiliani kabisa na ushoga au usagaji watu kama wanatabia izo wanaweza kufanya ata kama hawajabebana,acha ku-discourage watu. Iyo ni Tabia ya mtu binafsi.
 
jamani me nimechaguliwa hapo udsm but hizo habari za hostel ndo sijui chochote in short sijajua hata pakuanzia...msaada 2nd year students:A S-key:
 
Mimi ni mwanachuo wa mwaka wa pili udsm,natafuta first year wa kunibeba. Awe binti kwasababu nami ni binti. Semester ya kwanza nalipia ROOM yote mimi. Ni pm kwa aliye tayari.

habari...!!mimi nmechaguliwa hapo though sijui kama ntapangwa mabibo au main campus ila sibebi bali ntauza room popote ntakapopata! Kama uko tayari ni PM
 
jamani me nimechaguliwa hapo udsm but hizo habari za hostel ndo sijui chochote in short sijajua hata pakuanzia...msaada 2nd year students:A S-key:

Kwa 1st year lazma utapata rum,,usipanic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…