SODOKA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2012
- 1,656
- 722
ok ngoja tusubiri orientation week, alaf taratibu za kusajiliwa natakiwa niambatanishe na academic certificate ya form six au?
Uje na orijino zifuatazo
1.cheti cha kuzaliwa
2.cha form 4
3.slip ya six
uje na hela ya ziada,boom laweza kuzingua