Udsm

ok ngoja tusubiri orientation week, alaf taratibu za kusajiliwa natakiwa niambatanishe na academic certificate ya form six au?

Uje na orijino zifuatazo
1.cheti cha kuzaliwa
2.cha form 4
3.slip ya six
uje na hela ya ziada,boom laweza kuzingua
 
mmm nna geto pale survey plaza kwahiyo ww mdada nakukaribisha tuishi wote wawili kama mume na mke,hela nalipa ya semester zote,nichek pm bas pemgtoonet,com
 
Mimi ni mke wa mtu. Sitafuti kwa sasa,na usipende kutapeli vibinti vya watu METAL
 
Last edited by a moderator:
Daah kichwa kinauuma sana nnapofkiria nitalala wap? udsm nayo majanga tu! kama vp ewe mdau 1st yr tusaidiane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…