Udukuzi Kagera war

Udukuzi Kagera war

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
4,512
Reaction score
6,882
wanabodi,
napenda kujua kwenye vita ya mwaka1978-79 kati ya tz na Uganda hakukuwa na visa vyovyote vya udukuaji wa mawasiliano ya wanajeshi wetu ikizingatiwa kuwa mawasiliano kati ya makao makuu dar na wanajeshi waliokuwa kagera yalifanyika kwa simu na radio call na kuna wakati nilisikia somewhere kuwa hata neno LA siri LA kila Siku lilikuwa likitumwa kutoka makao makuu dar.

Wanajeshi wetu waliwezaje kuzuia mawasiliano yetu kudukuliwa au hakukukuwa na teknolojia ya udukuzi kwa miaka hiyo
 
Sasa mkuu ukishajua wewe ina maana hata adui wajue. Taarifa yoyote ya kiintelijensia ukiona umeipata jua ishachujwa na ikaonekana haina madhara for the time being. Ukiona haijulikani jua bado ni classified for various reasons. Pia kama ni hizo radiocall usikariri kwamba zote zinatumia mfumo mmoja. Pia katafili kidogo kuhusu matumiss ya quanta kutransfer info kwa mawimbi ndo uje utuambie anadukuaje mtu aside from an inside job
 
wanabodi,
napenda kujua kwenye vita ya mwaka1978-79 kati ya tz na Uganda hakukuwa na visa vyovyote vya udukuaji wa mawasiliano ya wanajeshi wetu ikizingatiwa kuwa mawasiliano kati ya makao makuu dar na wanajeshi waliokuwa kagera yalifanyika kwa simu na radio call na kuna wakati nilisikia somewhere kuwa hata neno LA siri LA kila Siku lilikuwa likitumwa kutoka makao makuu dar.

Wanajeshi wetu waliwezaje kuzuia mawasiliano yetu kudukuliwa au hakukukuwa na teknolojia ya udukuzi kwa miaka hiyo
Udukuzi ulikuwepo na njia moja wapo ya kuzuia ilikuwa ni matumizi ya coded language ambayo wanafunzwa toka wapo jeshini,kila nchi ina code zake na zingine hufanana kwa matumizi ya pamoja na majeshi mengine huwa modified kwa faida ya jeshi lako pia....
 
Very helpful
 
JWTZ walitumia njia gani kuzuia kudukukuliwa ni vigumu kujua, isipokuwa unaweza kuwa na uhakika kwamba mawasiliano hayakudukuliwa kwa jinsi operesheni zao zilivyokuwa na mafanikio makubwa. Nitataja tatu tu kwa leo;
1. Kukombolewa kwa MUTUKULA ME ENEO LOTE LA KAGERA. Amin hakutegemea askari wetu wangevuka kupitia Kanyigo,
2. "Ambush" ya Lukaya. Amin hakutegemea shambulizi la aina ile;
3. Kutekwa kwa Kampala. Mji ulitekwa kiustadi mno kiasi cha kwamba hata milio ya risasi iliyosikika ilikuwa michache sana. Kwa maneno ya Luteni Kanali Okido aliyeshiriki kuuteka mji huo aliliambia gazeti la "Newsweek" kwamba, "We literally stole the town"!
Ni ushahidi tosha!
 
Mkuu udukuzi wa mawasiliano ya adui ni moja ya objectives za jeshi lolote liingialo vitani.
Vile vile usiri na ulinzi wa mawasiliano ya kijeshi si jambo la kujadiliwa hadharani, hivyo sidhani kama utaambiwa mbinu zilizotumika kimawasiliano na ulinzi wa mawasiliano hayo.
Waswahili husema kwa nini umwage mchele kwenye kuku wengi.
 
JWTZ walitumia njia gani kuzuia kudukukuliwa ni vigumu kujua, isipokuwa unaweza kuwa na uhakika kwamba mawasiliano hayakudukuliwa kwa jinsi operesheni zao zilivyokuwa na mafanikio makubwa. Nitataja tatu tu kwa leo;
1. Kukombolewa kwa MUTUKULA ME ENEO LOTE LA KAGERA. Amin hakutegemea askari wetu wangevuka kupitia Kanyigo,
2. "Ambush" ya Lukaya. Amin hakutegemea shambulizi la aina ile;
3. Kutekwa kwa Kampala. Mji ulitekwa kiustadi mno kiasi cha kwamba hata milio ya risasi iliyosikika ilikuwa michache sana. Kwa maneno ya Luteni Kanali Okido aliyeshiriki kuuteka mji huo aliliambia gazeti la "Newsweek" kwamba, "We literally stole the town"!
Ni ushahidi tosha!
They stole the town
 
Safi.. umemaliza kila kitu

Back
Top Bottom