wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Uko vizuri kijana
Mkiwa katika medani ya vita unaweza kusiikiliza radio call za adui lakini mara nyingi unaweza usijuwe wanachomaanisha kuna coded massage