Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,512
- 6,882
More explanation plzMnapenda kujua yasiyopaswa kujulikana kosa kisheria
Mkuu unaonekana unapenda sana maisha ya gizani, hupendi uone nuru hata kidogo, na kwa kuwa maisha hayo uishiyo wewe ndo sehemu ya maisha yako hata wengine unataka waishi humohumo.Mnapenda kujua yasiyopaswa kujulikana kosa kisheria
Allowed kwa vibaliNataka kutumia Radio Call je naruhusiwa?
Udukuzi ulikuwepo na njia moja wapo ya kuzuia ilikuwa ni matumizi ya coded language ambayo wanafunzwa toka wapo jeshini,kila nchi ina code zake na zingine hufanana kwa matumizi ya pamoja na majeshi mengine huwa modified kwa faida ya jeshi lako pia....wanabodi,
napenda kujua kwenye vita ya mwaka1978-79 kati ya tz na Uganda hakukuwa na visa vyovyote vya udukuaji wa mawasiliano ya wanajeshi wetu ikizingatiwa kuwa mawasiliano kati ya makao makuu dar na wanajeshi waliokuwa kagera yalifanyika kwa simu na radio call na kuna wakati nilisikia somewhere kuwa hata neno LA siri LA kila Siku lilikuwa likitumwa kutoka makao makuu dar.
Wanajeshi wetu waliwezaje kuzuia mawasiliano yetu kudukuliwa au hakukukuwa na teknolojia ya udukuzi kwa miaka hiyo
Very helpfulUdukuzi ulikuwepo na njia moja wapo ya kuzuia ilikuwa ni matumizi ya coded language ambayo wanafunzwa toka wapo jeshini,kila nchi ina code zake na zingine hufanana kwa matumizi ya pamoja na majeshi mengine huwa modified kwa faida ya jeshi lako pia....
Mkuu udukuzi wa mawasiliano ya adui ni moja ya objectives za jeshi lolote liingialo vitani.wanabodi,
napenda kujua kwenye vita ya mwaka1978-79 kati ya tz na Uganda hakukuwa na visa vyovyote vya udukuaji wa mawasiliano ya wanajeshi wetu ikizingatiwa kuwa mawasiliano kati ya makao makuu dar na wanajeshi waliokuwa kagera yalifanyika kwa simu na radio call na kuna wakati nilisikia somewhere kuwa hata neno LA siri LA kila Siku lilikuwa likitumwa kutoka makao makuu dar.
Wanajeshi wetu waliwezaje kuzuia mawasiliano yetu kudukuliwa au hakukukuwa na teknolojia ya udukuzi kwa miaka hiyo
They stole the townJWTZ walitumia njia gani kuzuia kudukukuliwa ni vigumu kujua, isipokuwa unaweza kuwa na uhakika kwamba mawasiliano hayakudukuliwa kwa jinsi operesheni zao zilivyokuwa na mafanikio makubwa. Nitataja tatu tu kwa leo;
1. Kukombolewa kwa MUTUKULA ME ENEO LOTE LA KAGERA. Amin hakutegemea askari wetu wangevuka kupitia Kanyigo,
2. "Ambush" ya Lukaya. Amin hakutegemea shambulizi la aina ile;
3. Kutekwa kwa Kampala. Mji ulitekwa kiustadi mno kiasi cha kwamba hata milio ya risasi iliyosikika ilikuwa michache sana. Kwa maneno ya Luteni Kanali Okido aliyeshiriki kuuteka mji huo aliliambia gazeti la "Newsweek" kwamba, "We literally stole the town"!
Ni ushahidi tosha!
Radio calls mbona zinauzwa kama njugu madukani?Nataka kutumia Radio Call je naruhusiwa?
Inategemea na aina ya radio call zipo zinazoruhusiwa na zingine haziruhusiwiNataka kutumia Radio Call je naruhusiwa?
UmeonaeeMnapenda kujua yasiyopaswa kujulikana kosa kisheria
Nataka kutumia Radio Call je naruhusiwa?
Udukuzi ulikuwepo na njia moja wapo ya kuzuia ilikuwa ni matumizi ya coded language ambayo wanafunzwa toka wapo jeshini,kila nchi ina code zake na zingine hufanana kwa matumizi ya pamoja na majeshi mengine huwa modified kwa faida ya jeshi lako pia....