Udukuzi tovuti za Serikali Kenya: Waziri adai hakuna taarifa zilizopotea wala kuibwa

Udukuzi tovuti za Serikali Kenya: Waziri adai hakuna taarifa zilizopotea wala kuibwa

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Waziri wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT), William Kabogo, amesema hakuna taarifa zozote za serikali zilizopotea au kuibwa na wadukuzi baada ya tovuti kadhaa za serikali kuvamiwa mapema Jumatatu.

Miongoni mwa tovuti zilizodukuliwa ni ya Ikulu pamoja na zile za Wizara za Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Afya, Elimu, Kazi, Mambo ya Ndani, na Mazingira.

Soma Pia: Tovuti Nyingi za Serikali Zikiwemo za ICT, Afya, Elimu na Ikulu Zadaukuliwa nchini Kenya

Waziri amesema pia kwamba serikali iko katika mchakato wa kuwafuatilia na kuwachukulia hatua waliohusika na udukuzi huo.
 
Back
Top Bottom