No ndo yako ngazi ya faculty wiki yameshatoka departiment wiki ijayo by jtano yanaweza kutoka kasema Dr. Marwa
Badoo UE nimemaliza kusahihisha kwa watu wa forest eng.... Bado sijamack test yenu moja ya mwanzo
Hamnaga degree ya forest engineering sua labda kwa masters..au unatania watu hapa??? Huu ujinga peleka huko unapopajua sio hapa!!
vp vijana wangu wa sua matokeo yametoka nasikia
plz mwenye info anitonye hapa
- :help:
- :yield:
pumbavuu hakuna forest SUA WEWE
duh tutapona kwelisapu za kumwaga
hakuna forest eng jombaaIvi UBONGO wako umeridhia wewe kuandika haya?? We ni mwana sua?? Unajua maana ya forest?? Jitaid kusoma mada na uelewe..na hakikisha ushirikiano wako na ubongo wako ni mzuri kabla hujaropoka!
na wewe unasoma chuo kikuu ,ndio ukaweka thread kwamba,saut,tumaini na st.john ni vilaza??, akili zako zinakutosha mwenyewe
ulitaka zimtoshe na nani
ulitaka zimtoshe na nani