Ue results sua

Ue results sua

isco23

Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
43
Reaction score
12
VP VIJANA WANGU WA SUA MATOKEO YAMETOKA NASIKIA
PLZ MWENYE INFO ANITONYE HAPA

  • :help:
    • :yield:

No ndo yako ngazi ya faculty wiki yameshatoka departiment wiki ijayo by jtano yanaweza kutoka kasema Dr. Marwa
 
Badoo UE nimemaliza kusahihisha kwa watu wa forest eng.... Bado sijamack test yenu moja ya mwanzo
 
daaah.... cc kwa vet... nasikia ni week hii... kwenYe j4 kitu kitakuw out
 
naona yanaweza kuwekwa both kweny internet au noticeboard maana hadi sasa hawaj2ma password
 
Badoo UE nimemaliza kusahihisha kwa watu wa forest eng.... Bado sijamack test yenu moja ya mwanzo

Hamnaga degree ya forest engineering sua labda kwa masters..au unatania watu hapa??? Huu ujinga peleka huko unapopajua sio hapa!!
 
we dogo ni wa sua kweliiiiiii....... mbna uko na wenge sana
 
vp vijana wangu wa sua matokeo yametoka nasikia
plz mwenye info anitonye hapa

  • :help:
    • :yield:

na wewe unasoma chuo kikuu ,ndio ukaweka thread kwamba,saut,tumaini na st.john ni vilaza??, akili zako zinakutosha mwenyewe
 
pumbavuu hakuna forest SUA WEWE

Ivi UBONGO wako umeridhia wewe kuandika haya?? We ni mwana sua?? Unajua maana ya forest?? Jitaid kusoma mada na uelewe..na hakikisha ushirikiano wako na ubongo wako ni mzuri kabla hujaropoka!
 
Ivi UBONGO wako umeridhia wewe kuandika haya?? We ni mwana sua?? Unajua maana ya forest?? Jitaid kusoma mada na uelewe..na hakikisha ushirikiano wako na ubongo wako ni mzuri kabla hujaropoka!
hakuna forest eng jombaa
 
Back
Top Bottom