Tatizo kubwa ni fedha! Hasa kwenye finishing, ndipo panapotoa jasho pale na wengi had wavute pumzi za ktosha ndipo waendelee. Ila kama zipo, unamaliza fasta tu mbonaHabari zenu wakuu.
Wakuu naomba kujulishwa,hivi mtu ukijenga nyumba kuanzia msingi mpaka usawa wa linapoanzia dirisha kwa mwezi mmoja je kitaalam kuna madhara yeyote?
Nauliza sababu nimezoea kuona watu wakijenga msingi then wanaacha kwa miezi kadhaa wengine hata mwaka ndio wanakuja tena kupandisha tofali mistari kadhaa then wanaondoka wanakaa wanakuja kupandisha tena mistari kadhaa.
hao wanakwamishwa na either uwezo mdogo wa fedha or kukosa msimamizi hivyo kulazimika kusimamia wenyewe ilihali wana shughuli nyingine. nyumba inaweza kujengwa kwa wiki tatu tu na ikaisha bila madhara yoyote kujitokeza[/QUOTE
Asante kwa kujibu mkuu.
Kuna mtu aliniambia eti nyumba ikijengwa yote kwa mkupuo kwa haraha itakua na tatizo maana eti msingi unatakiwa ukijengwa uachwe kwanza upigwe na mvua utitie uji adjust eti ndio uwekewe tofali za kupandisha juu.
Tatizo kubwa ni fedha! Hasa kwenye finishing, ndipo panapotoa jasho pale na wengi had wavute pumzi za ktosha ndipo waendelee. Ila kama zipo, unamaliza fasta tu mbona
Habari zenu wakuu.
Wakuu naomba kujulishwa,hivi mtu ukijenga nyumba kuanzia msingi mpaka usawa wa linapoanzia dirisha kwa mwezi mmoja je kitaalam kuna madhara yeyote?
Nauliza sababu nimezoea kuona watu wakijenga msingi then wanaacha kwa miezi kadhaa wengine hata mwaka ndio wanakuja tena kupandisha tofali mistari kadhaa then wanaondoka wanakaa wanakuja kupandisha tena mistari kadhaa.
Hii si kweli mkuu...actuall kuna muda fulani ambao zege kwa mfano (either plain concrete or reinforced concrete)linatakiwa liachwe ili kukauka na kuwa stable...but ni duration inayokuwa fupi like siku 2 au tatu or generally less than a week(inategemea na activity yenyewe)
Suala la msingi kutitia(settlement)lipo kimahesabu zaidi na inatakiwa kutokea kwa namna salama(even settlement)na kutitia salama kunategemeana na soil type ya plot,mbinu ya ujenzi..materials,aina ya msingi,all in all huwa hatusubiri msingi utitie..kama una hela unaweza kujenga kwa muda mfupi...cha muhimu ni kuzingatia standards
Yap! Inawezekana bila shida yani. We ongea na fundi wako fresh tuKwa maana hiyo nyumba inaweza kujengwa msingi hadi lintel ndani ya mwezi na isiwe na tatizo la nyufa wala matatizo mengine?
Ndugu, ktk ujenzi kuna vitu unatakiwa uvifuate.
1. zege linakomaa baada ya siku 28.
hivyo msingi unaweza ukaisha kwa siku 3, kama utaweka jamvi kote utapaswa kusubiri 28 days na kama ring beam unaweza subiri kwa 14days, kama utalazimisha haita bomoka ila kila kwenye dirisha kutakua na nyufa.
2. lengo la kusimama ni kwamba ili ikauke iumane kwa pamoja ili kuepuka unequal settlement.
Mkuu kuna nyumba nilijengaga nikaimaliza msingi mpaka lintel kwa miez mitatu then fundi akasema tusubiri miez miwili ndo tuendelee kuezeka na mambo mengine.Nilifanya hivi sbb nilitaka kusimamia mwenyewe na muda wa kushinda site kwa kipindi kirefu sina sbb ya majukumu.Fundi alinihakikishia hakutakua na tatizo ila ukweli ni kwamba hiyo nyumba iliisha kila kitu vizuri ila ina tatizo la nyufa hasa kwenye dirisha moja la sebuleni.Hiyo nyufa imezibwa kwa kila style ila inajirudia.
Sasa kuna wanaosema hizo nyufa zinatokana na udongo wa hilo eneo na kweli jirani zangu wengi hawakujenga haraka kama mimi ila nao wanasumbuliwa na nyufa.
Wengine wanasema nyufa zinanisumbua sababu nilijenga haraka sana.
Kuna kajumba kengine nataka kujenga ila bado nina tatizo la muda,muda wa kwenda kushinda site kwa miez mingi sina,nataka nijenge haraka nimalize niendelee na shughuli nyingine na huwa napenda nisimamie mwenyewe nione kila kitu kinavyofanyika.
Inaelekea eneo la kiwanja chako kuna udongo wa mfinyanzi, jambo la kufanya unapochimba msingi tanguliza mchanga kwa kipimo cha futi moja kisha mwanga zege la inchi tatu, kisha suka nondo kuzungusha msingi wote, kisha simamisha msingi na endelea na ujenzi.
Walifanya hivyo mkuu.
Kabla hawajafukia msingi walijaza mchanga kwenye kuta za ndani na nje za msingi ndio wakafukia.Pia walizungusha mkanda kwenye msingi ila haikusaidia ndo hivyo nasumbuka na nyufa.Labda hawakufanya kwa vipimo ulivyotaja.