UE yafutwa chuo kikuu SEKOMU kwa mwaka wa tatu education


Tena hapo kwenye product kuwa shallow usiseme kitu ninamifano kibao ya watu walosoma udom lakin kazin ni upuuz mtupu, udom ni nzuri kwa majengo lakin product ni za ovyo kwa kiasi kikubwa ndg yangu usibishe
 
Tena hapo kwenye product kuwa shallow usiseme kitu ninamifano kibao ya watu walosoma udom lakin kazin ni upuuz mtupu, udom ni nzuri kwa majengo lakin product ni za ovyo kwa kiasi kikubwa ndg yangu usibishe

Angalia sasa unadandia treni kwa mbele, nmegundua huijui UDOM kiundani bali ni ushabiki tu, unafikiri wapuuzi wote kazini na wezi wa UE wametoka Udom tu km sio hiyo SEKOMU yako apeche alolo.
 
Angalieni professionals certificate kama cpa,hapo ndo utafaham kama udom hawapo vizuri.....ni hayo tuu wapiga domo.
 
Toba hiyo ndo kutubia ili msamehewe wizi wa mitihani mpaka ya chuo. Only in SEKOMU afu badae mkipigwa gap la ajira mnalaumu.

mkuu wala mim sipo sekomu lkn nimeshtushwa sana na taarifa yako kwamba udom kwa sasa ndo chuo bora kilichobakia
 
Nshamwelewesha mwenzio km wewe na amenielewa, so wewe pita kulee. Kitanda uschokilalia wajuaje kunguni wake apeche alolo wewe.
Kizazi kipya na zao la shule za kata!!!
 
Kizazi kipya na zao la shule za kata!!!

Tena ungejua ilo neno apeche alolo wala usingendelea ku quote post zangu. Ouky sio kosa lako bali ni malezi na mazingira mabovu ya maisha unayopitia.
 
 
dear students hahahaha huyo mama bado anawaandalia chai wanafunzi wake!?
uyo mama mnafiraki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…