Ukitaka kujua kuwa walimu wengi wa UDOM ni feki angalia kuna mitihani ya UE imebidi ihairishwe baada ya principal wa college ya .... kuishitukia iko chini ya kiwango mno, akaamua kuitisha daftari la CR wa darasa ili aone topic walizofundishwa darasani ni zipi. Lakini huo mtihani ulishapitishwa kwenye seneti, sasa jiulize hiyo seneti walikaa mambulumundu wa type gani?